Harmonize atafuta kiki kwa Hamisi Said mshiriki wa BSS

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
17,409
21,089
.
 

Attachments

  • 20191119_224131.jpeg
    20191119_224131.jpeg
    44.2 KB · Views: 2
Mleta mada nadhani umejiabisha sana,base on mada yako yaonesha unamchukia sana Harmonize na naamini wewe ni mdada Mana wanaume hatuna tabia hiyo na Kama wewe ni mwanaume basi utakua uko upande wa pili wa kiumeni.

What if huyu dogo angechukuliwa na Diamond, ungeleta upuuzi wako huu?

Jiheshimu Dada/Kaka
 
Naungana na mtoa mada hasa kwenye angle moja tu hiyo ya kiki ni kweli harmo anatafuta Kiki cos huyo jamaa afiti kimziki kwenye soko la sasa na atasikika kimziki harmo anatumia mgongo wakiki kupitia huyo dogo.Me namshauri aache Kiki afanye mziki.
 
Mtoa mada wewe ni me au ke kama ni ke basi utakuwa beki tatu wa mbagala na kama me utakuwa shoga wewe
 
Hiyo BSS ni mshindi gani ambae ana future kwenye muziki?! Yuko wapi Juma nne aliepewa gari? yuko wapi yule dada alieshinda akiwa mjamzito? BSS ni taasisi ya kupiga fedha za wafadhili tu kwa kigezo cha kuboresha vipaji lakini hamna kitu, ni wajasiriamali hao kina madam Ritha.
 
Watabadilisha jina lkn si hatima yangu..alisikika mwananchi mmoja hukoo duniani kazi bidiii na sala....Mungu haingiliwi fuata yako Mkuu
 
Hivi watanzania mnatoa wapi ujasili wa kuanza kuhoji kuanguka kwa mtu angali pishi lipo jikoni..?
Ni afadhali kwa huyo harmonize kumchukua huyo dogo kuliko kupiga soga za ajabu.
 
Vishabiki vya WCB mda Wote ni Kuombea wenzao mabaya tu..

Vinajifanya Vichambuzi vya kila kitu Kinachowahusu, Alikiba, Harmonize na Clouds Media
 
Vishabiki vya WCB mda Wote ni Kuombea wenzao mabaya tu..

Vinajifanya Vichambuzi vya kila kitu Kinachowahusu, Alikiba, Harmonize na Clouds Media
Kwani si ndo demokrasia hiyo Kila mtu anaongea anachofaa ili mladi tu kisivuke mipaka
 
Kuna wengine msipo angalia Mond atawapiga choki.
Maana ndio sadaka zake hizo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom