Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 17,415
- 21,109
Harmonize(harmorapa)&diamond(handsome)Unakumbuka diamond na hamonaiza walikuwa na muonekano gani wakati wanaanza? Mpuuzi mmoja wewe
Kwani si ndo demokrasia hiyo Kila mtu anaongea anachofaa ili mladi tu kisivuke mipakaVishabiki vya WCB mda Wote ni Kuombea wenzao mabaya tu..
Vinajifanya Vichambuzi vya kila kitu Kinachowahusu, Alikiba, Harmonize na Clouds Media
We sadaka zako zikowapi?Kuna wengine msipo angalia Mond atawapiga choki.
Maana ndio sadaka zake hizo
We sadaka zako zikowapi?
hivi kumbe harmonize ndio harmorapa,nlikuwa najua ni mfanano tu wa majina,aisee si ndio yule mwenye vitukovituko?Harmonize(harmorapa)&diamond(handsome)