Harmonize aja na wimbo mpya, atangaza yeye ndio Mwalimu wa Amapiano

Harmo kaharibu song la watu Mang'dakiwe original ndio wimbo wangu bora wa amapiano hata ringtone nimeuseti..... I'm sorry if I did you wrong
 
Bwana wee,,, acha tu mzee wangu yani wamenigeuza mpira wa kona leo Keko kesho stakishari 😅 awamu ijayo nafikiri itakuwa segerea
Dah unaibuka halafu wanakupoteza tena ...ni kama ile mahakamani unafutiwa mashitaka halafu kabla hujatoka unakamatwa tena unasomewa mashitaka mapya....karibu tena mzee !
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom