Harmonise aliedaiwa kuwatusi wakenya ageuka lulu mbele ya Uhuru na Odinga leo.

congo,jamaica have good music than you and also very poor
Jamaicans wish to live like us, we have dope music and fabulous life at one package, what a glory 😎
Screenshot_2019-01-08-21-31-26.png
 
Hii nugu inapenda kujisifu vitu valueless kama mtoi Wa class2,
Na bado mnamuentertain.
 
Kumbe alikosana na dem wake tanesco? Subiri akosane na mobisol ndio tujue inakuaje
 
Tanzania music is the African or East African in particular is the dope heroine, its the unescapable addition which will rule you whether like it or not, nilishangaa hivi viwakora filthy huku vilivyoshadadia that fake fabricated jealous, kumbe madingi zao wanawacheki tu kwa zarau 😂😂😂😂 what a karma

Nyie tulieni tuwatawale taratibu punguzeni mbwembwe mazee

View attachment 989407

Povu linaruhusiwa ila la viwango.

Hii video ndio imefanya ukatokwa na broken English hivyo? Kwani hujawahi ona watu wakidance?
 
Tanzania music is the African or East African in particular is the dope heroine, its the unescapable addition which will rule you whether like it or not, nilishangaa hivi viwakora filthy huku vilivyoshadadia that fake fabricated jealous, kumbe madingi zao wanawacheki tu kwa zarau 😂😂😂😂 what a karma

Nyie tulieni tuwatawale taratibu punguzeni mbwembwe mazee

View attachment 989407

Povu linaruhusiwa ila la viwango.

Kawaida yetu kama wakenya hatuweki grudges za kitoto .... Sasa unaiona in action.... Next time ukiskia mtu anasema wakenya wanachukia watanzania, ukumbuke uliyojionea Kwa macho na siyo uliyoyaskia Kwa midomo ya wambea.... Sisi hua Hatuna grudge na mtu yeyote, kama hatujafurahishwa na kitu tutakwambia, kama tunakuchukia tutakwambia .... Lakini hatutakuchekea alafu ukiondoka tukusengenye vibaya....kwasababu hua hatuweki grudges!
 
Mkuu no one will take serious groupie grudges za mitandaoni...

Vijana wa Bongo fleva kwa sasa demonstrate "Soft power projection" ya TZ kupitia entertainment industry, yaani hata ukiiweka grudges za namna gani bado hutoboi bila kufanya kazi nzuri kwa maarifa na juhudi kubwa.

Zamani KE kulikuwa na rafiki zangu akina K-South, Kalamashaka etal. na wale wazee wa soapies akina Masakuu na wenzake.

Then wakaja akina Nameless na pia wale wazee wa soapies akina Masakuu na wenzake, wale jamaa hata Bongo waliokuwa wanapendwa sana kupita wasanii wetu wa wakati huo...

But now the tables have turned, the balance of soft power projection iko upande wa TZ na msipoangalia this order will be here to stay for a very very long time...

Sauti Sol pekee hawatoweza, vijana wa Bongo fleva wenye viwango wako wengi mno.... Kazeni buti:)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hehe SoftPower projection ya muziki!!! Wanaijeria wanajulikana Kwa muziki Africa nzima na pia Afrocinema wakati influence yenu inaishia hapa East Africa + Congo, imewasaidia nini hapa Africa, bado wanaijeria wanafukuzwa fukuzwa kila waendapo....

SoftPower sio kujulikana Kwa kitu flani Tu, Bali ni uwezo wako wa kutumia reputation yako ili kusababisha nchi nyengine kufanya mambo flani ambayo Yana faida kwako...bila kutumia nguvu wala vitisho..... Kwa mfano Kenya hutumia reputation yake ya quality research kuhakikisha lab ya WHO ya research ya Ebola iko hapa Nairobi, tumetumia SoftPower yetu kuhakikisha tulikwepa kesi za ICC bila kupewa sanctions kama nchi zengine, mikutano mingi ya kimataifa kama UNCTAD, TICAD, WTO, WEF, GES huishia kufanyiwa hapa Kenya sababu ya uwezo wa Kenya kurai nchi zengine Zi support Kenya.... Ikiwemo hivi majuzi Mikutano wa Kwanza wa kimataifa wa uchumi wa baharini (blue economy conference)
Sasa hivi Kenya imepewa ruhusa ya kuanza kutayarisha Ku host 2020 IAAF World Under-20 Championships , baada ya hapo tuko na mpango wa Ku bid IAAF world championship, na pia kuna mipango ya kuwania Ku host Afcon ya 2021 .... Pia tunalobby WRC iregeshe Kenya/EAC Kwa world rally championship kuanzia 2020, tunataka pia tuwe na hosting rights ya World golf tournament na IRB world rugby 7s wawe wanapitia Kenya Kwa tounerment circuits Yao kila mwaka... Hayo yote ya Michezo ni kwasababu tunatuma SoftPower yetu ya uweledi wetu wa michezo tofauti tofauti...

Yani Kwa kifupi, Kenya iliacha kutumia SoftPower yake kushinda na nchi za EAC tukaingia ligi kuu ya ukanda mzima wa Africa, hua tunapimana misuli na kina SA na Egypt na Nigeria, ingawaje bado hatujawezana na Egypt na SA, mwaka 2016 Kwa mara ya Kwanza tuliwashinda SA Kwa Ku host Mikutano mingi zaidi ya kimataifa. kitechnologia na kiunchumi ndo bado hatujawafikia... Ingawaje Kampuni za Kenya za kitechnolojia (tech startup) zilifanyikiwa kuchangisha pesa nyingi kuliko za Sa na Egypt kwahivyo tunawakaribia katika hio sector..

Tukija Kwa Tanzania na muziki wenu.... Nje ya Tz, ni Wakenya ndo mashabiki wakubwa wa muziki wenu, je, Mmetumia hio SoftPower kufanya nini ? Manake Rais wenu ameharibu uhusiano wa kidiplomasia Kati ya Ke na TZ , kitambo biashara Kati ya Ke na Tz ilikua karibia $400m sahii ni Chini ya $200m.... (Ukilinganisha KE na UG biashara ni zaidi ya $1.2B) uhusiano wetu umebaki ni Malumbano na vitisho kila siku ni kana kwamba hamjui hata kutumia your new found influence manake uhusiano unazidi kusambaratika mpaka unaenea Kwa watu wa kawaida,
 
hili swala la muziki wa Tz na Kenya mi nazani lisiwe dictated na beef za media huko kenya , waacheni wasanii wenu wafanye kazi nzur mbona sauti sol wanafanya vizuri, unajua mkiwabeba watashindwa ku adopt na mahitaji ya soko then haitazuia kitu maana wakenya wanaopenda mziki mzuri wataendelea kuusikia tu through social networks therefore haitasaidia kama wasanii wa kenya wakibweteka na kusema ah sasa tunapata airtime yakutosha hapa kenya hivyo basi wanapaswa waamke wafanye video kali, beats kali then mambo yatakaa levels tu.
 
Hehe SoftPower projection ya muziki!!! Wanaijeria wanajulikana Kwa muziki Africa nzima na pia Afrocinema wakati influence yenu inaishia hapa East Africa + Congo, imewasaidia nini hapa Africa, bado wanaijeria wanafukuzwa fukuzwa kila waendapo....

SoftPower sio kujulikana Kwa kitu flani Tu, Bali ni uwezo wako wa kutumia reputation yako ili kusababisha nchi nyengine kufanya mambo flani ambayo Yana faida kwako...bila kutumia nguvu wala vitisho..... Kwa mfano Kenya hutumia reputation yake ya quality research kuhakikisha lab ya WHO ya research ya Ebola iko hapa Nairobi, tumetumia SoftPower yetu kuhakikisha tulikwepa kesi za ICC bila kupewa sanctions kama nchi zengine, mikutano mingi ya kimataifa kama UNCTAD, TICAD, WTO, WEF, GES huishia kufanyiwa hapa Kenya sababu ya uwezo wa Kenya kurai nchi zengine Zi support Kenya.... Ikiwemo hivi majuzi Mikutano wa Kwanza wa kimataifa wa uchumi wa baharini (blue economy conference)
Sasa hivi Kenya imepewa ruhusa ya kuanza kutayarisha Ku host 2020 IAAF World Under-20 Championships , baada ya hapo tuko na mpango wa Ku bid IAAF world championship, na pia kuna mipango ya kuwania Ku host Afcon ya 2021 .... Pia tunalobby WRC iregeshe Kenya/EAC Kwa world rally championship kuanzia 2020, tunataka pia tuwe na hosting rights ya World golf tournament na IRB world rugby 7s wawe wanapitia Kenya Kwa tounerment circuits Yao kila mwaka... Hayo yote ya Michezo ni kwasababu tunatuma SoftPower yetu ya uweledi wetu wa michezo tofauti tofauti...

Yani Kwa kifupi, Kenya iliacha kutumia SoftPower yake kushinda na nchi za EAC tukaingia ligi kuu ya ukanda mzima wa Africa, hua tunapimana misuli na kina SA na Egypt na Nigeria, ingawaje bado hatujawezana na Egypt na SA, mwaka 2016 Kwa mara ya Kwanza tuliwashinda SA Kwa Ku host Mikutano mingi zaidi ya kimataifa. kitechnologia na kiunchumi ndo bado hatujawafikia... Ingawaje Kampuni za Kenya za kitechnolojia (tech startup) zilifanyikiwa kuchangisha pesa nyingi kuliko za Sa na Egypt kwahivyo tunawakaribia katika hio sector..

Tukija Kwa Tanzania na muziki wenu.... Nje ya Tz, ni Wakenya ndo mashabiki wakubwa wa muziki wenu, je, Mmetumia hio SoftPower kufanya nini ? Manake Rais wenu ameharibu uhusiano wa kidiplomasia Kati ya Ke na TZ , kitambo biashara Kati ya Ke na Tz ilikua karibia $400m sahii ni Chini ya $200m.... (Ukilinganisha KE na UG biashara ni zaidi ya $1.2B) uhusiano wetu umebaki ni Malumbano na vitisho kila siku ni kana kwamba hamjui hata kutumia your new found influence manake uhusiano unazidi kusambaratika mpaka unaenea Kwa watu wa kawaida,
Mi nazani kuboromoka kwa biashara baina ya haya mataifa mawili si sababu ya Raisi, bali kupepesuka kwa uchumi na hata sera za nchi zote mbili izi sasa ivi zimebanwa sana mfano ss iv Tz kila biashara inakuwa regulated tofauti na zamani, mfano swala la madini ya Tanzanite ss ivi hapo kenya na hata india kule kume shake sababu wafanya biashara ss ivi hawatoi madini nje ya mererani for free bila kulipia ushuru zaman nafikiri ilikuwa pako free sana sala la exports na import goods hapo ndio kasheshe sasa kenya walianza kuzuia unga wa ngano the Tz waka shut na maziwa ya kenya so unaona hiyo mifano yote ni governments hivyo bac sera zetu baina ya mataifa haya mawili lazima ziwekwe sawa
 
Hehe SoftPower projection ya muziki!!! Wanaijeria wanajulikana Kwa muziki Africa nzima na pia Afrocinema wakati influence yenu inaishia hapa East Africa + Congo, imewasaidia nini hapa Africa, bado wanaijeria wanafukuzwa fukuzwa kila waendapo....

SoftPower sio kujulikana Kwa kitu flani Tu, Bali ni uwezo wako wa kutumia reputation yako ili kusababisha nchi nyengine kufanya mambo flani ambayo Yana faida kwako...bila kutumia nguvu wala vitisho..... Kwa mfano Kenya hutumia reputation yake ya quality research kuhakikisha lab ya WHO ya research ya Ebola iko hapa Nairobi, tumetumia SoftPower yetu kuhakikisha tulikwepa kesi za ICC bila kupewa sanctions kama nchi zengine, mikutano mingi ya kimataifa kama UNCTAD, TICAD, WTO, WEF, GES huishia kufanyiwa hapa Kenya sababu ya uwezo wa Kenya kurai nchi zengine Zi support Kenya.... Ikiwemo hivi majuzi Mikutano wa Kwanza wa kimataifa wa uchumi wa baharini (blue economy conference)
Sasa hivi Kenya imepewa ruhusa ya kuanza kutayarisha Ku host 2020 IAAF World Under-20 Championships , baada ya hapo tuko na mpango wa Ku bid IAAF world championship, na pia kuna mipango ya kuwania Ku host Afcon ya 2021 .... Pia tunalobby WRC iregeshe Kenya/EAC Kwa world rally championship kuanzia 2020, tunataka pia tuwe na hosting rights ya World golf tournament na IRB world rugby 7s wawe wanapitia Kenya Kwa tounerment circuits Yao kila mwaka... Hayo yote ya Michezo ni kwasababu tunatuma SoftPower yetu ya uweledi wetu wa michezo tofauti tofauti...

Yani Kwa kifupi, Kenya iliacha kutumia SoftPower yake kushinda na nchi za EAC tukaingia ligi kuu ya ukanda mzima wa Africa, hua tunapimana misuli na kina SA na Egypt na Nigeria, ingawaje bado hatujawezana na Egypt na SA, mwaka 2016 Kwa mara ya Kwanza tuliwashinda SA Kwa Ku host Mikutano mingi zaidi ya kimataifa. kitechnologia na kiunchumi ndo bado hatujawafikia... Ingawaje Kampuni za Kenya za kitechnolojia (tech startup) zilifanyikiwa kuchangisha pesa nyingi kuliko za Sa na Egypt kwahivyo tunawakaribia katika hio sector..

Tukija Kwa Tanzania na muziki wenu.... Nje ya Tz, ni Wakenya ndo mashabiki wakubwa wa muziki wenu, je, Mmetumia hio SoftPower kufanya nini ? Manake Rais wenu ameharibu uhusiano wa kidiplomasia Kati ya Ke na TZ , kitambo biashara Kati ya Ke na Tz ilikua karibia $400m sahii ni Chini ya $200m.... (Ukilinganisha KE na UG biashara ni zaidi ya $1.2B) uhusiano wetu umebaki ni Malumbano na vitisho kila siku ni kana kwamba hamjui hata kutumia your new found influence manake uhusiano unazidi kusambaratika mpaka unaenea Kwa watu wa kawaida,

Na kuhusu swala la muziki wa Tz kupendwa sana Kenya mi nazani sio sahihii sana kusema iyo kauli mbona hata miziki ya Kenya inapendwa hapa Tz, na ni kweli mziki wa Tz sasa ivi unasikilizwa karibu kila pembe ya Africa mfano msanii Diaond kafanya show zimbabwe alijazaa venue, alifanya show visiwa vya Mayote mara mbili alijaza uwanja, alifanya show Madagascar alijaza uwanja so mi nafikiri vitu vingine ni God's will, therefore kulipinga ni shida kidogo
 
Hehe SoftPower projection ya muziki!!! Wanaijeria wanajulikana Kwa muziki Africa nzima na pia Afrocinema wakati influence yenu inaishia hapa East Africa + Congo, imewasaidia nini hapa Africa, bado wanaijeria wanafukuzwa fukuzwa kila waendapo....

SoftPower sio kujulikana Kwa kitu flani Tu, Bali ni uwezo wako wa kutumia reputation yako ili kusababisha nchi nyengine kufanya mambo flani ambayo Yana faida kwako...bila kutumia nguvu wala vitisho..... Kwa mfano Kenya hutumia reputation yake ya quality research kuhakikisha lab ya WHO ya research ya Ebola iko hapa Nairobi, tumetumia SoftPower yetu kuhakikisha tulikwepa kesi za ICC bila kupewa sanctions kama nchi zengine, mikutano mingi ya kimataifa kama UNCTAD, TICAD, WTO, WEF, GES huishia kufanyiwa hapa Kenya sababu ya uwezo wa Kenya kurai nchi zengine Zi support Kenya.... Ikiwemo hivi majuzi Mikutano wa Kwanza wa kimataifa wa uchumi wa baharini (blue economy conference)
Sasa hivi Kenya imepewa ruhusa ya kuanza kutayarisha Ku host 2020 IAAF World Under-20 Championships , baada ya hapo tuko na mpango wa Ku bid IAAF world championship, na pia kuna mipango ya kuwania Ku host Afcon ya 2021 .... Pia tunalobby WRC iregeshe Kenya/EAC Kwa world rally championship kuanzia 2020, tunataka pia tuwe na hosting rights ya World golf tournament na IRB world rugby 7s wawe wanapitia Kenya Kwa tounerment circuits Yao kila mwaka... Hayo yote ya Michezo ni kwasababu tunatuma SoftPower yetu ya uweledi wetu wa michezo tofauti tofauti...

Yani Kwa kifupi, Kenya iliacha kutumia SoftPower yake kushinda na nchi za EAC tukaingia ligi kuu ya ukanda mzima wa Africa, hua tunapimana misuli na kina SA na Egypt na Nigeria, ingawaje bado hatujawezana na Egypt na SA, mwaka 2016 Kwa mara ya Kwanza tuliwashinda SA Kwa Ku host Mikutano mingi zaidi ya kimataifa. kitechnologia na kiunchumi ndo bado hatujawafikia... Ingawaje Kampuni za Kenya za kitechnolojia (tech startup) zilifanyikiwa kuchangisha pesa nyingi kuliko za Sa na Egypt kwahivyo tunawakaribia katika hio sector..

Tukija Kwa Tanzania na muziki wenu.... Nje ya Tz, ni Wakenya ndo mashabiki wakubwa wa muziki wenu, je, Mmetumia hio SoftPower kufanya nini ? Manake Rais wenu ameharibu uhusiano wa kidiplomasia Kati ya Ke na TZ , kitambo biashara Kati ya Ke na Tz ilikua karibia $400m sahii ni Chini ya $200m.... (Ukilinganisha KE na UG biashara ni zaidi ya $1.2B) uhusiano wetu umebaki ni Malumbano na vitisho kila siku ni kana kwamba hamjui hata kutumia your new found influence manake uhusiano unazidi kusambaratika mpaka unaenea Kwa watu wa kawaida,
Hahaha,

Msee umetoa povu jingi mpaka naona uvivu kukujibu, Anyways at least umeonyesha uelewa wa concept na art of geopolitical power projection.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu no one will take serious groupie grudges za mitandaoni...

Vijana wa Bongo fleva kwa sasa demonstrate "Soft power projection" ya TZ kupitia entertainment industry, yaani hata ukiiweka grudges za namna gani bado hutoboi bila kufanya kazi nzuri kwa maarifa na juhudi kubwa.

Zamani KE kulikuwa na rafiki zangu akina K-South, Kalamashaka etal. na wale wazee wa soapies akina Masakuu na wenzake.

Then wakaja akina Nameless na pia wale wazee wa soapies akina Masakuu na wenzake, wale jamaa hata Bongo waliokuwa wanapendwa sana kupita wasanii wetu wa wakati huo...

But now the tables have turned, the balance of soft power projection iko upande wa TZ na msipoangalia this order will be here to stay for a very very long time...

Sauti Sol pekee hawatoweza, vijana wa Bongo fleva wenye viwango wako wengi mno.... Kazeni buti:)

Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya mziki wa ukweli uliondoka na E-Sir. Waliobaki kina K-South, P-Unit, Prezzo, The Bugz, Jacali, Mejja, Wahu, Nameless ndio wasanii wa maana. Hao New school wengi ni wababaishaji kuanzia kina DNA, Rabbit, Camp mulla, Octopizzo na Kaligraph ni failure.
 
Mie kanifurahisha Uhuru tu.

Nadhani huwa anakosa nafasi ya kusakata mangoma, kajificha kule nyumba anakita rhumba balaa....hahah!
 
Kenya mziki wa ukweli uliondoka na E-Sir. Waliobaki kina K-South, P-Unit, Prezzo, The Bugz, Jacali, Mejja, Wahu, Nameless ndio wasanii wa maana. Hao New school wengi ni wababaishaji kuanzia kina DNA, Rabbit, Camp mulla, Octopizzo na Kaligraph ni failure.
Hata huyo Late E-SIR (ISSA) , ana asili ya bongo through his father.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BTW, hii issue yote ya play Local music ilianzishwa na khaligraph Jones alipoenda kule Naigeria na kugundua huko Naigeria hawachezeshi chochote kutoka nje....
Kule Nigeria mpaka wameifanya Sheria kabisa kua Radio na TV za huko zinachezesha nyimbo na Movie za Kinigeria Kwa 70% ya muda wote ! Alafu hio 30% ndo wakitaka wanaweza cheza nyimbo za nje..... Wamekua wakifanya hivyo tangu enzi za Psquare walioanza, wakati huku kwetu kama hatuchezeshi nyimbo za Marekani, ni za kijamaica,SA,Nigeria...NK...... Prime sport za vipindi vya TV unakuta ni Telenovela ndo zinapewa kipaumbele wakati show kama Aziza na Aunti boss ndo zinafaa ziwe zinapewa huo muda .....
Mwanzo hata invewezakana tungeweka Sheria na kuanzishwe tovuti ambayo itakua kama YouTube lakini ya hapa hapa, ikue mtu analipa kama shilingi 30 Kwa mwezi kupitisha mpesa au airtime na anapata quality original video za nyimbo .... Hii itakua no Bora kuliko YouTube ambao wanalipa wasanii vicenti , wasanii wakilipwa vizuri watashoot video nzuri na kutoa bidii, na hata kama hawatakua the best in the content at least watakua wanaweza Kula na kuishi kutokana na hela za muziki.... Tukifanya hivyo itakua hata kama hatuko poa kimziki wasanii wa nchi zengine watakua wanapigania kuja Ku launch nyimbo zao huku au kusajilisha nyimbo zao Kwa tovuti hio ili wapate royalties ...
 
Back
Top Bottom