Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,058
Msanii Harmonise amesema mahusiano yake na Huddah wa Kenya yalimtatiza sana
anadai kuna kazi walikuwa wafanye na kukubaliana ili kuipa kiki kazi akapost video wakiwa pamoja mtandaoni, watanzania wakamshukia hadi akaifuta, hata baada ya kuifuta haikusaidia
Pia Rose Ndauka alipost cover ya nyimbo yake na akajisikia vizuri, alipokuwa kwenye interview akaulizwa dada wa bongo movie anayemkibali ni nani? akajibu Rose Ndauka ili kulipa favour aliyomfanyia, sasa wakati wa promosheni ya kipindi waandaaji wakawa wame edit na kuunganisha maneno ikaonekana kama alisema anaonana naye
Dada akamtafuta kwa hasira na kumshukia, akapost Instagram akimshukia ila akanpotezea kwa kuwa ni misunderstanding na ni mtoto wa kike