Harmonise afunguka mahusiano yake na Huddah na Rose Ndauka yalivyomletea balaa

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,058


Msanii Harmonise amesema mahusiano yake na Huddah wa Kenya yalimtatiza sana
anadai kuna kazi walikuwa wafanye na kukubaliana ili kuipa kiki kazi akapost video wakiwa pamoja mtandaoni, watanzania wakamshukia hadi akaifuta, hata baada ya kuifuta haikusaidia

Pia Rose Ndauka alipost cover ya nyimbo yake na akajisikia vizuri, alipokuwa kwenye interview akaulizwa dada wa bongo movie anayemkibali ni nani? akajibu Rose Ndauka ili kulipa favour aliyomfanyia, sasa wakati wa promosheni ya kipindi waandaaji wakawa wame edit na kuunganisha maneno ikaonekana kama alisema anaonana naye
Dada akamtafuta kwa hasira na kumshukia, akapost Instagram akimshukia ila akanpotezea kwa kuwa ni misunderstanding na ni mtoto wa kike
 
Yaani umepoteza muda na umeacha kila kitu na kuamua kupost mahusiano ya mwanaume mwenzio?..ama kweli aliyotabiri Jay dee (wanaume kama mabinti) yanatimia sasa
 
Ukimuona kijana wa kiume anapenda kuwalala wanawak walomzidi umri kaa nae mbali.
 
Unapokuwa kioo cha jamii kashfa au vitu vya uzushi havikwepeki inabidi uendelee na mapambano katika game iwe ni changamoto kwenye mafanikio yako na kufanya kazi nzuri zaidi.
 
Haha hapo aliposema alimtaja ili kulipa favour means hamkubali wala nini ila tu kwasababu flani flani doh unafki on fleek...
 
Back
Top Bottom