Ha ha a wenye pua zao wamechafukwa mwenzangu
Inawezekana ukawa na sura mbaya tu more than your avatar depicted here.Kwa mtazamo wako!
Ahaha ahahaha ahahaa dah! kweli kabisa harmo alikuwa sahihi kabisa kutoka ndukiJamani mbona mnamheka Hamo Rappa kukimbia baada ya kuona siraha? Msicheze na siraha jamani, ulizeni wale watangazaji wa SHILAWADU wako wapi baada ya kuona ile mitutu ya Bashite, mpaka leo hawajulikani walipo
Kitu cha kijinga kabisa kumwambia binadamu mwenzio, si ajabu muonekano wako hata huyo mwenye pua yake anakuzidiYeye alienda kumpa pole mfikwa na majanga cha ajabu badala ya kutoa msaada anamkimbia tena jamani??? Na wangemsambaratisha mpua wake kama sketi ya solo
Inawezekana ukawa na sura mbaya tu more than your avatar depicted here.
Ongeza hii,wala sio maarufu kama Hamorapa uliyemdhihakiNa hata nikiwa timamu sina mchango wowote kwenye uchumi wa familia yako mkuu, si ndivyo?!
Jamani mbona mnamheka Hamo Rappa kukimbia baada ya kuona siraha? Msicheze na siraha jamani, ulizeni wale watangazaji wa SHILAWADU wako wapi baada ya kuona ile mitutu ya Bashite, mpaka leo hawajulikani walipo
Sura ya kiume wewe ile.. Vip tena RubiiiYeye alienda kumpa pole mfikwa na majanga cha ajabu badala ya kutoa msaada anamkimbia tena jamani??? Na wangemsambaratisha mpua wake kama sketi ya solo
Wewe unajuaje kama Kitenge hana bastola? mbona zipo nyingi tu kitaa sema yule chizi ndo alijionesha kwa kujifanya mwelevu.Silaha sio kitu cha mchezo MAULID KITENGE hakukiona chuma kama angekiona kama alivyo kishuhudia harmorappa asinge sogea pale.
Ongeza hii,wala sio maarufu kama Hamorapa uliyemdhihaki
Sura ya kiume wewe ile.. Vip tena Rubiii
Yeye alienda kumpa pole mfikwa na majanga cha ajabu badala ya kutoa msaada anamkimbia tena jamani??? Na wangemsambaratisha mpua wake kama sketi ya solo
well saidSilaha sio kitu cha mchezo MAULID KITENGE hakukiona chuma kama angekiona kama alivyo kishuhudia harmorappa asinge sogea pale.
Hivi huyu Jamaa aliemtolea Nape Bastola ni nani?
Yaani kabisa ndio wamefundishwa hivyo huko TISS? Yaani yeye hawezi kujenga hoja? Au anafikiri mtu mpaka kufikia hatua ile anaogopa hizo Risasi?
Kwanza kavaa jeans ya kishamba sana kapelo ya kikoromije! Wenzake wote wako smart and Busara za Hali ya juu.
Inamaana yeye Ndiye aliambiwa Kamtoe akikataa PIGA RISASI ILKUSUDI TUTAWALE BILA OBSTACLES?
Mimi kama Mtanzania sijapenda kabisa lakini uzuri wa KARMA ni kama Kioo, Haidanganyi hata ufe Leo, Itakuandama tu.
Ewe mtoa uhai kwa Bastola Amewaaibisha sana Wenzio Leo, Huyo Bado ni Mbunge na Anajua siri nyingi sana za chama na serikali huenda kuliko wewe na huyo mwenzio aliebariki matumizi ya Bastola.. mmeona Bunduki na Bastola ndio mkombozi Wenu...
Mungu Haendi Likizo.
Ndio Mkuu.. Ila sikumbuki vizuri jina lake.Alijulikana?
Hao vibaka wa Muhutu Mwendakuzimu hivi wako wapi siku hizi, au ndiyo wamefinywa 'kisailensa'?Hivi huyu Jamaa aliemtolea Nape Bastola ni nani?