Harmo Rapa atimua mbio baada ya Mh. Nape kuoneshwa bastola

Jamani mbona mnamheka Hamo Rappa kukimbia baada ya kuona siraha? Msicheze na siraha jamani, ulizeni wale watangazaji wa SHILAWADU wako wapi baada ya kuona ile mitutu ya Bashite, mpaka leo hawajulikani walipo
Ahaha ahahaha ahahaa dah! kweli kabisa harmo alikuwa sahihi kabisa kutoka nduki
 
Naomba mwenye hiyo video ya HAMOLLAPA arivyotoka mbio vire vya Hatali . anitumie whatsapuni kwangu..
 
Yeye alienda kumpa pole mfikwa na majanga cha ajabu badala ya kutoa msaada anamkimbia tena jamani??? Na wangemsambaratisha mpua wake kama sketi ya solo
Kitu cha kijinga kabisa kumwambia binadamu mwenzio, si ajabu muonekano wako hata huyo mwenye pua yake anakuzidi
 
Jamani mbona mnamheka Hamo Rappa kukimbia baada ya kuona siraha? Msicheze na siraha jamani, ulizeni wale watangazaji wa SHILAWADU wako wapi baada ya kuona ile mitutu ya Bashite, mpaka leo hawajulikani walipo
 
Alijulikana?
Hivi huyu Jamaa aliemtolea Nape Bastola ni nani?

Yaani kabisa ndio wamefundishwa hivyo huko TISS? Yaani yeye hawezi kujenga hoja? Au anafikiri mtu mpaka kufikia hatua ile anaogopa hizo Risasi?

Kwanza kavaa jeans ya kishamba sana kapelo ya kikoromije! Wenzake wote wako smart and Busara za Hali ya juu.

Inamaana yeye Ndiye aliambiwa Kamtoe akikataa PIGA RISASI ILKUSUDI TUTAWALE BILA OBSTACLES?

Mimi kama Mtanzania sijapenda kabisa lakini uzuri wa KARMA ni kama Kioo, Haidanganyi hata ufe Leo, Itakuandama tu.

Ewe mtoa uhai kwa Bastola Amewaaibisha sana Wenzio Leo, Huyo Bado ni Mbunge na Anajua siri nyingi sana za chama na serikali huenda kuliko wewe na huyo mwenzio aliebariki matumizi ya Bastola.. mmeona Bunduki na Bastola ndio mkombozi Wenu...

Mungu Haendi Likizo.

Hao vibaka wa Muhutu Mwendakuzimu hivi wako wapi siku hizi, au ndiyo wamefinywa 'kisailensa'?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom