Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 362
Hii habari ilirushwa BBC in november kuhusu madawa ya kulevya yanavyowaathiri vijana wenzetu huko Zanzibar,(I think it was posted here too!) nimedonoa kijipart tu ambacho kimenigusa....
""....now addicts are adopting a new technique which is worrying drug abuse specialists. Young men inject themselves with a cocktail of heroin and cocaine.
It is called "flash blood".
A user injects heroin, then withdraws a syringe-full of blood which contains a smaller amount of heroin and which is passed to a second user who injects it.The technique means that addicts who cannot afford to buy their own drugs can still get a fix, however diluted.
"Such sharing is terribly dangerous," says Dr Steven Nsimba of the Muhimbili University of Health and Allied Sciences.
"It could have devastating consequences for HIV/Aids. If the first person is infected the second person will get a direct transmission of the virus."
The prevalence of HIV is under 1% in Zanzibar, well below the 7% on mainland Tanzania, but Dr Nsimba believes that could change.
"The spread of HIV could be very fast depending on the number of people who are doing flash blood."
No-one knows just how many addicts are using the flash blood technique, although the health authorities in Zanzibar are now trying to gather reliable data.""
Hapa ndo Harm Reduction program inapoingia, tusitegemee watu wenye addiction ya drugs wataacha kutumia ghafla eti kwa kuwa wanashauriwa wafanye hivyo, wataendelea hadi pale watakapoamua kuacha wenyewe. Kinachotakiwa kufanyika kwa sasa ni kupunguza madhara yanayotokana na matumizi ya madawa hayo.
Principle ya harm reduction kwa wale wanao inject madawa ya kulevya inapendekeza kwamba syringes ziwe zinapatikana kwa urahisi(i.e. without a prescription).
Kama uopatikanaji wake utakuwa rahisi, rates ya maambukizi ya HIV itapungua. Kama upatikanaji wa syringes utaendelea kuwa limited watumiaji wa heroin na madawa mengine ya kulevya wataendelea kuzi share na kuzitumia zaidi ya mara moja bila hata kuzi sterilise na hii itaongeza maambukizi ya magonjwa kama HIV na Hep C. Tujiulize pia, hawa vijana wanao inject kwa sasa- wanazitoa wapi hizo syringes?
Nahisi watakua wanaziiba mahospitalini kama sio kuzinunua kwa wafanyakazi wa mahospitali hayo-which is illegal. Pia kutakua na tatizo la syringes na needles zilizokwisha tumika kutupwa ovyo mitaani, kitu ambacho ni hatari hasa kwa watoto ( and ofcourse kwa wale ambao viatu bado ni mgogoro!).
Nadhani ni wakati muafaka kwa serekali kufungua needle exchange centres ili wawe wakitoa syringes safi na kukusanya zile zilizokwishatumika kama nchi za wenzetu zilizoendelea zinavyofanya.
Au ni mpaka tusubiri wazungu waje watufanyie jambo hili?