Harith Mwapachu afariki

Amina Thomas

JF-Expert Member
Mar 9, 2008
272
129
Mtoto wa mh. Juma Mwapachu, Harith, amefariki ghafla leo alfajiri. Inna lillahi wa inna illaihi raj'un
 
Mtoto wa mh. Juma Mwapachu, Harith, amefariki ghafla leo alfajiri. Inna lillahi wa inna illaihi raj'un
Amina samahani marehemu alikuwa nani maana umetoa taarifa kama wote tunamfahamu Harithi Mwampachu. Poleni familia ya marehemu Allah awape uvumilivu katika kipindi hiki.
 
alikua mtoto wa mh. Juma mwapachu.
Bado hujanijibu nikakuelewa, yaani alikuwa nani katika jamii hadi ukafikia kuleta thread humu ndani? Mimi namfahamu Bakari Mwapachu yule aliyewahi kuwa Naibu Waziri kipindi kile Usamala wa Raia baade ikaletwa tena Mambo ya Ndani. Ndiyo huyo mwanae, vinginevyo mwaga CV ya marehemu badala ya kuishia kusema amekufa.
 
Mtoto wa mh. Juma Mwapachu, Harith, amefariki ghafla leo alfajiri. Inna lillahi wa inna illaihi raj'un

Tunaomba Clarifications please, mimi ninafahamu aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani na mbunge wa Tanga alikuwa anaitwa Harith Bakari Mwapachu. na mwingine yupo EAC anaitwa Balozi Juma Mwapachu, Sasa ni Yupi aliyefariki, au ni mtoto wa Juma Mwapachu i.e mdogo wake Harith Bakari Mwapachu??. More info please!
 
Mi nilishtuka nikidhani ni yule Bakari Mwapachu.Si mnamjuwa?.
 
jina la mwapachu ni kati ya majina makubwa sana katika historia ya nchi yetu - anyeujua ukoo huo atudadavulie. kwa vyovyote vile naungana na wombolezaji. RIP.
 
Amina! Post ulioleta inaeleweka, kw yyt aliezaliwa Tz especialy mjini mjini hatokuuliza swl km vl toa cur-vitae za Marehem e.c.t hao wakuulizao nadhani ni wenzetu waliotoka interior wavumilie
 
naona bla bla tu hapo. Huyo mtoto anatuhusu nini? Toa maelezo ya kujitosha. BTW, RIP.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom