Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Ilikuwa ni kawaida mtu kukuta kafanikiwa bila ya jasho, watu wanaiba Vyeti au kuhonga au kutumia vyeti vya wengine halafu wanapata kazi zinazolipa vizuri lkn wasizozistahili na wale waliopambana na kujituma maisha yao yote wanaishia kutokupata chochote, maisha yetu ni unfair kwa maana wale Wavivu na Wajanja wajanja kama Mbowe ndiyo wanaofanikiwa na kufika mbali!
Sasa tumefungua ukurasa mpya, na hili litakuwa fundisho kwa wale wanaokuja nyuma kwamba hakuna njia ya mkato, na yule anayejituma na kufanya kazi kwa bidii ndiyo awe rewarded na siyo kinyume chake!
Mungu Ibariki Tanzania yetu Mpya ya ,,Hard Work Pays"!