Hard time

Lover boi

JF-Expert Member
Apr 16, 2021
316
431
Habarini !

Kwa sasa nipo katika wakati mgumu sana hadi inataka kupelekea kutokamilisha degree yangu.

Hard time for three semister.

Hard time in case of health.

Hard time in financial.

I am in hard time for now.

God help me.
 
Zamani tulipokuwa tunasoma tulikuwa na vyama vya wanafunzi (Umoja wa Wanafunzi) , vyama vya kidini kama TAFES, CASFETA, UKWATA, YCS n.k, vyama vya mikoa mlikotoka mfano umoja wa wanafunzi wa Kagera wanaosoma UDSM.

Kazi ya hivo vyama ilikuwa ni kusaidiana katika hali na mali. Ukiwa mgonjwa, umefiwa na hata kama una matatizo ya kifedha unasaidiwa. Sijui sasa hivi huo utaratibu kama upo. Mungu awasaidie vijana muwe na umoja katika shida na raha.
 
Back
Top Bottom