Hard Drive ya Desktop Tb 4 (GB 4000) Laki tatu tu.

Time Traveller

JF-Expert Member
Nov 16, 2016
314
302
Habari za muda huu wana Jamii forums. Nauza internal hard drive ya desktop yenye ukubwa Wa GB 4000 tera byte 4. Hii inafaa sana ofisi zinazohitaji space kubwa kuhifadhi data mbalimbali. Pia inawafaa wapenda tamthiliya na movies mbalimbali kwani inakupa nafasi ya kuhifadhi tamthiliya upendazo. Bei ni laki 3 tu. Na tunakufungia kwenye desktop yako. Tunapatikana Dar-es-salaam
Kwa mawasiliano zaidi.
0710 304035.
24b1ec16ab87d068553236ca8308ece1.jpg
 
Hii naweza kuitumia kama external kuhifadhi mambo yangu pamoja na movies?
 
Habari za muda huu wana Jamii forums. Nauza internal hard drive ya desktop yenye ukubwa Wa GB 4000 tera byte 4. Hii inafaa sana ofisi zinazohitaji space kubwa kuhifadhi data mbalimbali. Pia inawafaa wapenda tamthiliya na movies mbalimbali kwani inakupa nafasi ya kuhifadhi tamthiliya upendazo. Bei ni laki 3 tu. Na tunakufungia kwenye desktop yako. Tunapatikana Dar-es-salaam
Kwa mawasiliano zaidi.
0710 304035.
24b1ec16ab87d068553236ca8308ece1.jpg
Bei ya maongezi mwisho shs ngapi?
 
1000kb=1mb

1000mb=1gb

1000gb=1tb

4000gb=4tb

4tb haijai hata kwakufanyaje.
 
1000kb=1mb

1000mb=1gb

1000gb=1tb

4000gb=4tb

4tb haijai hata kwakufanyaje.
Mkuu kuna wanafunzi humu ukifanya hivyo unawapotosha. Sio kweli kuwa ni kwa kipimo chako icho. Kipimo kipo hivi: 1024 kb = 1mb, 1024 mb= 1gb na nyingine pia hivyo hivyo. Na kwa tb 4= 4096 gb.
 
Habari za muda huu wana Jamii forums. Nauza internal hard drive ya desktop yenye ukubwa Wa GB 4000 tera byte 4. Hii inafaa sana ofisi zinazohitaji space kubwa kuhifadhi data mbalimbali. Pia inawafaa wapenda tamthiliya na movies mbalimbali kwani inakupa nafasi ya kuhifadhi tamthiliya upendazo. Bei ni laki 3 tu. Na tunakufungia kwenye desktop yako. Tunapatikana Dar-es-salaam
Kwa mawasiliano zaidi.
0710 304035.
24b1ec16ab87d068553236ca8308ece1.jpg
0758 476 215 mm nataka tb4 mbona cm haipatikani
 
Back
Top Bottom