Hard disk yangi inaniandikia 'format device'

Jaribu kuifungua na os tofauti, android ama Linux distro kama Ubuntu ama mint.
Chief samahani kidogo. Nimedownload video kwa kutumia vidmet ila hAiplay na player zaid ya play it na vidmate yenyewe. Kwenye pc ndoo kabisa haiplay na player yoyote. Tunafanyaje hapa.
 
Naomba nidandie hapo hapo.
Je hard disc nzuri ni za kampuni gani ?
Natanguliza shukrani.
Nzuri kwa nini? Zipo za kuhifadhia mafile, zipo za kazi za kila siku, zipo za server zipo za zinazo deal na reliability na kupunguza error etc.

Mfano Western Digital Wana Hdd za aina 3
-WD green hizi zipo slow na zinakupa GB nyingi kwa bei nafuu nzuri kama Unahitaji hdd ya kuhifadhia mafile yako na hazili sana umeme.

-WD blue hizi zina speed na bei ghali zaidi hazipigi sana kelele nzuri kwa matumizi ya kawaida

-WD black sio nzuri kama blue kwenye speed ila ngumu sana kufa, ideal kwa data center na watu wanaohifadhi mafile muhimu. Bei pia imechangamka.

Sema kibongo bongo sisi wafanya biashara wetu hupenda sana faida kubwa, ukienda hdd Agrrey utakuta WD Green za kutosha.

Pia Hitachi Wana hdd nzuri sana na failure rate yake ni ndogo Sema hawauzi reja reja most of time unakuta tu ndani ya machine yako, hivyo kama una machine ya zamani ama laptop imekaa tu haina kazi ni hdd nzuri waweza itumia kwenye vifaa vyengine.

Pia zipo nyengine kama Seagate Baracuda, ironwolf, Toshiba X series, Wd red na Gold etc.

Cha muhimu kwanza Angalia matumizi yako.
 
Namaanisha inaplay kwA plAyeer moja tu. Ya play it kwenye sm na video zote za kutoka youtube nazodownload na vidmate
Kama haina maliza kudownload ni kawaida ku play kwenye vidmate yenyewe na kukata kwengine. Na kama Wana Downloader yao na player yao pia kuna possibility wanazi encrypt hizo video.

Kwanini usitumie tu downloader nyengine? Kuna downloader kibao tofauti na hio vidmate.
 
Salaam mkuu, naomba msaada wa hizo downloader nyingine zaidi ya vidmate na videorder.
 
Salaam mkuu, naomba msaada wa hizo downloader nyingine zaidi ya vidmate na videorder.
1. Hii hapa ni open source ya dentex, haina ad wala usumbufu wowote.

2. Waweza pia kutumia ymusic, hii lengo hasa ni ku play miziki toka YouTube ila unadownload pia video
 
Kama haina maliza kudownload ni kawaida ku play kwenye vidmate yenyewe na kukata kwengine. Na kama Wana Downloader yao na player yao pia kuna possibility wanazi encrypt hizo video.

Kwanini usitumie tu downloader nyengine? Kuna downloader kibao tofauti na hio vidmate.
Ipi is the best mkuu
 
Back
Top Bottom