Harambee ya maendeleo na ukarabati wa Shule ya Sekondari Enaboishu, Arusha TZ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Harambee ya maendeleo na ukarabati wa Shule ya Sekondari Enaboishu, Arusha TZ

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Emashilla, Sep 11, 2012.

 1. Emashilla

  Emashilla Senior Member

  #1
  Sep 11, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 138
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ENABOISHU KIBAO CHA SHULE.jpg

  KKKT DAYOSISI YA KASKAZINI KATI

  KWA WATU WOTE,
  Uongozi wa Shule ya Sekondari Enaboishu, Arusha, Tanzania; inawatangazia wanafunzi waliosoma hapa, wazazi na walezi wa wanafunzi, marafiki na wadau wote wa elimu wa ndani na nje ya Tanzania, kwamba shule inatarajia kuendesha harambee ya kuchangia maendeleo na ukarabati wa shule kati ya Novemba na Desemba, 2012.
  Upatapo taarifa hii, wajulishe wanafunzi waliosoma hapa na marafiki wote.
  Hizi ni taarifa za awali. Habari kamili itatolewa hivi karibuni.
  Kwa ufafanuzi na mawasiliano zaidi, tumia njia zifuatazo:
  1) Mkuu wa shule,
  Shule ya Sekondari Enaboishu,
  S.L.P 3120, Arusha
  Simu: +255713610738 au +255767610738
  2) Bwana Calist C. Chami
  Makamu Mkuu wa Shule.
  Shule ya Sekondari Enaboishu,
  Simu: +255754488291
  3) Barua pepe: enaboishusecondaryschool@yahoo.com
  4) Nukushi: +255732979654
  5) Intaneti: Home - enaboishuhighschool's JimdoPage!
  6) Au fika moja kwa moja Shuleni na onana na uongozi wa shule
  Ni matumaini ya uongozi wa shule kuwa utashiriki

  ASANTE SANA

  Taarifa imetolewa na:
  Lession Ole Sakinoy,
  Mkuu wa shule Jumanne , Septemba 11, 2012
  Shule ya Sekondari Enaboishu
   
Loading...