Lai Otieno
JF-Expert Member
- Aug 13, 2013
- 311
- 90
Tupo katika ukumbi wa palm beach na wadau pamoja na viongozi wa CHADEMA mkoa wa Mara katika harakati ya kuchangia CHADEMA mkoa harambe hii inaongozwa na mhe mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya ziwa magharibi wadau wapo Wengi KWELI na Hali ya hewa ni shwari hii ni moja wapo ya harakati ya kuanzia kujipanga na uchaguzi wa wenyeviti wa mitaa mkoa mzima wa Mara chini ya mhe kiti mpya mhe kayele pamoja na katibu mhe angela na wabunge wote wa mkoa Mara ambao ni mhe Vincent j Nyerere Akiwa na mhe ester matiku.