Harambe ya CHADEMA mkoa wa Mara Leo hii

Lai Otieno

JF-Expert Member
Aug 13, 2013
311
90
Tupo katika ukumbi wa palm beach na wadau pamoja na viongozi wa CHADEMA mkoa wa Mara katika harakati ya kuchangia CHADEMA mkoa harambe hii inaongozwa na mhe mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya ziwa magharibi wadau wapo Wengi KWELI na Hali ya hewa ni shwari hii ni moja wapo ya harakati ya kuanzia kujipanga na uchaguzi wa wenyeviti wa mitaa mkoa mzima wa Mara chini ya mhe kiti mpya mhe kayele pamoja na katibu mhe angela na wabunge wote wa mkoa Mara ambao ni mhe Vincent j Nyerere Akiwa na mhe ester matiku.
 
kwani hilo limekuwa kanisa
toshekeni na ruzuku zenu kutoka serekalini
 
Tupo katika ukumbi wa palm beach na wadau pamoja na viongozi wa CHADEMA mkoa wa Mara katika harakati ya kuchangia CHADEMA mkoa harambe hii inaongozwa na mhe mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya ziwa magharibi wadau wapo Wengi KWELI na Hali ya hewa ni shwari hii ni moja wapo ya harakati ya kuanzia kujipanga na uchaguzi wa wenyeviti wa mitaa mkoa mzima wa Mara chini ya mhe kiti mpya mhe kayele pamoja na katibu mhe angela na wabunge wote wa mkoa Mara ambao ni mhe Vincent j Nyerere Akiwa na mhe ester matiku.

Wajinga ndiyo walidai nyie changeni wenzenu wanaenda kutumia Dubai
 
Back
Top Bottom