doup
JF-Expert Member
- Feb 26, 2009
- 2,346
- 2,151
Kumbe upo ukichimama nchale ukikaa nchale na ukikumbia nchale.Aseeeee
Kumbe upo ukichimama nchale ukikaa nchale na ukikumbia nchale.Aseeeee
NipoKumbe upo ukichimama nchale ukikaa nchale na ukikumbia nchale.
Pia kulikuwa na ligi ama mechi ngumu ya mpira wa miguu kuwahi kutokea duniani. Labda niiite "dabi" ya nyakati zote! walipokutana watani wa jadi "born town" na wazee wa kazi "bush starz" First eleven ntampasia mtu atutajie
Wacha dharau wewe, sema ni mfano halisi wa mkolomije,wewe vipi?Pimbi kila mpango wake na demu ulikuwa unabuma. Pimbi ni mfano halisi wa wanaume wa Dar es Salaam
Huyo alikuwa chaputa.
hivi ni lini alkula papuchi huyu?
Njomba Nchumali,Jua kali,Kipepe,Sokomoko,Lodilofa,
Hivi ni wapi unaweza yapata yale majaBONGO na TABASAMU?. Yalikuwa ni majarida ambayo yalikuwa yakivutia sana. Ukizingatia enzi hizo smartphone hazipo. Watoto wakali tulikuwa tukiwaona kupitia ile front cover. Moja ya title ambazo sizisahau ni ile iliyosomeka HATA UKIOGA, HAUENDI MJINI.
Yalikuwa burudani tosha aisee. Sio magazeti ya sasa haya.Yapo sana ndugu mbona mi nilikuwa kila mwezi nanua vitabu nilikuwa naenda navyo school basi si kwa kuazimwa huko darasa zima hasa wasichana wanapenda.kuna sister wangu nilikuwa nampa ayahifadhi na unajua zama zile walikuwa pia wanakupa zawadi ukiwa na majarida angalau matano tu kuonesha umeyatunza.Sijui sasa bado anayo ila aliwahi kuniambia vitabu vyako vipo.
Wavulana wa mikoani, mnajaribu kujitetea sana. Bila wanaume wa Dar usingekuwa Jf wewe pimbi wa mkonani wewe... huyu Mkurugenzi na founder wa Jf kasomea Dar kafanya mambo yake DarPimbi kila mpango wake na demu ulikuwa unabuma. Pimbi ni mfano halisi wa wanaume wa Dar es Salaam
Si ndio hawa wa leo hata sanamu ya Mwl wanakoseaHivi wachoraji waliokuwepo enzi hizo wapo mpaka Leo?
Alifanikiwa kumla Popobawa wa kike, ila akatoka nduki baada ya mechi kuwa ngumu.Hebu wabau kama kuna mpango wa pimbi uliofanikiwa tuwekeeni hapa