princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 7,537
- 14,347
yeesKuna kipindi uliomba mkopo hapa hivi ulipata na biashara ulisha anza?
-Ndumilakuwili-
Sent using Jamii Forums mobile app
yeesKuna kipindi uliomba mkopo hapa hivi ulipata na biashara ulisha anza?
-Ndumilakuwili-
Nakurudisha kwenu mbuyuni,mkomaindo au nikupeleke migongo???
niko njiani narudi zangu migongo,nanjotaNakurudisha kwenu mbuyuni,mkomaindo au nikupeleke migongo???
wasalimie kaumu
Watu wengine kwa kutaka sifa hivi unajua huko kagerankanda kuna umbali wa kiasi gani kutoka huko mjini i.e kasulu mjini? usafiri wa huko ni wa kuhesabika acheni sifa za kujifanya mnajua kila kituMkuu unapoteza muda tu nenda mikoani hasa kigoma huko Magufuli katoa sehemu ya pori la kagerankanda walime mihogo nenda kalime asee ,makopa!udaga yanalipa sana kanda ya ziwa huku si unajua wenzetu kwa kula ugali
King herufi R hauijui kabisaHv Kama Wa Tz Tupo Mil 50s Na Unakuta Tuna Tatizo La Ajila Je Tukifika Mil 150s Je Itakuwaje Me Najalibu Kufikili Eneo Tulionalo Ambalo Liko Empty Ni Kubwa Sana Najalibu Kufikili Idad Ya Watu Wa U .S .A Nahc Tukifikia Idad Ile Je Itakuwaje I Think Tunahitaji Kumwomba Mungu Juu Ya Viongoz Wetu Wanaweza Ona Ajila Hakuna Ila Zipo Tena Nyingi Na Kama Tukimluhusu Mungu Kwenye Hili Swala Nahc Tungetafuta Watu Kwa Ajili Ya Kufanya Kaz Na C Watu Kutafuta Kazi