Harakati za mapinduzi ya Ukoloni Mamboleo na Dkt. Magufuli

Jun 26, 2015
56
21
Naanza na Usemi usemao " Mwenye macho aambiwi tazama" Nina imani sote tuna macho na kwanjia moja au nyingine tumepata kujionea kile kinachofanywa na Raisi wetu Dr. John Pombe Magufuli

Licha ya kuhakikisha uchumi wetu unapanda lakini pia jitihada zake za kujenga taifa linalojitemea tunaziona ambacho ndicho kitu cha msingi zaidi katika mapambano zidi ya Ukoloni mamboleo.

Ametambua ili tuwe na uhuru kamili ni lazima tujitegemee, bila ya kujitegemea hatuwezi kuwa na uhuru kamili.

#HarakatiZaUkomboziWaUkoloniMamboleo

 

Attachments

  • VID-20200814-WA0000.mp4
    18.8 MB
Back
Top Bottom