Harakati za Dr Slaa Na Chadema Katika Picha 2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Harakati za Dr Slaa Na Chadema Katika Picha 2010

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by kinepi_nepi, Oct 7, 2010.

 1. kinepi_nepi

  kinepi_nepi JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2010
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 870
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
 2. kinepi_nepi

  kinepi_nepi JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2010
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 870
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Hakikisha unaziangalia zote 25, utaona DR. Slaa akiapishwa kuwa Raisi wa awamu ya Tano Tanzania huru. Wengi wamefurahia ushindi huu.
  octaber 31 2010 tupige kura .
   
 3. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2010
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Naona umetuwekea picha za Obama na Christmas Tree nyuma ya White House. Swali zinausikaje na harakati za CHADEMA na Dr. Slaa?
   
 4. kinepi_nepi

  kinepi_nepi JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2010
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 870
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Umemwona Dr Slaa lakini, kina Obama wanachoma Nyama wanasherehekea kumwona Dr anakaribia ikulu.
   
 5. m

  mkenda1000 Member

  #5
  Oct 7, 2010
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
   
 6. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #6
  Oct 7, 2010
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Je... wamejiandikisha kupiga kura?? isije ikawa ni mavuvuzela tu, mwisho wa siku hawapigi kura
   
 7. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #7
  Oct 7, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,762
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  hayo ndo maneno yenu ccm tumeyazoea kwa hiyo waliojiandikisha ni akina nani kama si wananchi!??
   
 8. DICTATOR

  DICTATOR JF-Expert Member

  #8
  Oct 7, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 392
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tunamwamini, Tunamhitaji. Dr Slaa, you are the hero of our country!! inabidi tuanzishe siku ya kupinga ufisadi nchini.
   
 9. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #9
  Oct 7, 2010
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 8,998
  Likes Received: 582
  Trophy Points: 280
  bado picha moja wakuu, picha itakayopigwa uwanja wa uhuru wakita dokta wa falsafa akiapishwa kuwa rais wa awamu ya 5. ntakuwa mitungi siku hiyo sipati picha.
   
 10. K

  Kenge (Eng) JF-Expert Member

  #10
  Oct 7, 2010
  Joined: Dec 7, 2006
  Messages: 502
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Angalau nawe umejaribu kutupa hali halisi sio kama MISUPU.
   
Loading...