Harakati za chini kwa chini zinazofanywa na CHADEMA zina Tija kwa Chama!!?

ALLEN KP

Senior Member
Mar 28, 2017
118
31
Nauliza kwa kamanda vitendo vinavyoendelea ndani ya chama vina nia ya kuimarisha chama!!!! Au ndiyo kujichimbia kaburi wenyewe???
9fd9757e98f0d327c13f3557acba5df5.jpg
 
Naisi kwa makamanda wanaofuatilia vzuri maswala ya chama washanielewa
 
Pia kuna movement ya chini kwa chini kwa wale wanaohudhuria vkao vya ndan wanajua nn naamansha
 
Nauliza kwa kamanda vitendo vinavyoendelea ndani ya chama vina nia ya kuimarisha chama!!!! Au ndiyo kujichimbia kaburi wenyewe???
9fd9757e98f0d327c13f3557acba5df5.jpg
Yaan kwa wale wenye akili washaelewa mchezo unaochezwa na wana lumumba, wamejigawa makundi mawili: wanaojifanya wanachadema wanalalamika na wengine ni lumumba wanawatetea..." Maku" mmoja ni huyu hapa
 
Nauliza kwa kamanda vitendo vinavyoendelea ndani ya chama vina nia ya kuimarisha chama!!!! Au ndiyo kujichimbia kaburi wenyewe???
9fd9757e98f0d327c13f3557acba5df5.jpg
karibu jf bwana mdogo ,
Umejiunga jf jumanne tarehe 28/3 , kwa mujibu wa wanazuoni j4 ndio siku ambayo Mungu aliumba moto wa jehanamu , ni siku yenye gundu kali sana , tegemea laana .
 
karibu jf bwana mdogo ,
Umejiunga jf jumanne tarehe 28/3 , kwa mujibu wa wanazuoni j4 ndio siku ambayo Mungu aliumba moto wa jehanamu , ni siku yenye gundu kali sana , tegemea laana .
We ndy wa kwanza kulaaniwa. Kuzaliwa siku nying haiamanishi ndy mwing wa hekima. Pole sana naic ulvyozaliwa ulikuwa na upungufu wa follic acid ndy mana una uwezo finyu wa Kufikilia
 
Km mantiki ya kuanza muda mwng ndy hekima basi CHADEMA isipewe nchi mana ni chama kichanga tu .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom