Happy UKIMWI day Wana Chit-chat,

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
Leo ni Ya Ukimwi Duniani,Nawatakia kusherehekea Kwema Siku ya Leo.

Zawadi mtapeleka wenyewe..
 
Leo ni Ya Ukimwi Duniani,Nawatakia kusherehekea Kwema Siku ya Leo.

Zawadi mtapeleka wenyewe..

Tuhimizane zero grazing na la ikishindikana basi ndomu zitumike,vinginevyo tutapukutika kama mbegu za papai.
Ujumbe mahsusi kwa The secretary: tulizana kwa bishanga.
 
Last edited by a moderator:
Hivi siku ya ukimwi huwa inasherehekewa au ni siku ya huzuni?
 
niliwekaga post ya "Majuto ya sande" mapema mwezi November.....sijui kama huu uzi hawatauondoa pia.........
Play safe guys....
 
kila mtu akimwekea mpenzi wake dawa ya kunasiana huu ugonjwa utaisha tanzania, mimi nitawauzia wana jf hii dawa kwa gharama nafuu.
Call Mobile: 0741800800
By: Mobitel
 
Back
Top Bottom