Yaani Natalia kupika zero kwa hiyo mume wangu anaingia jikoni.Turkey na dressing ,sweet potatoes uwii na vingine vingi.happy thanks giving again
Yaani Natalia kupika zero kwa hiyo mume wangu anaingia jikoni.Turkey na dressing ,sweet potatoes uwii na vingine vingi.happy thanks giving again
Kusema ukweli sipendi hayo mavyakula 5000 calories na hisi.turkey and gravy hell .kuna mdada anakaa newhaven ananipikiaga pilau naidubiri mnooo.Mumeo atapika sweet potato souffle na honey baked ham?
Kusema ukweli sipendi hayo mavyakula 5000 calories na hisi.turkey and gravy hell .kuna mdada anakaa newhaven ananipikiaga pilau naisubiri mnooo.Mumeo atapika sweet potato souffle na honey baked ham?
Kusema ukweli najua kutengeneza sandwichDaaaah yaani mtoto wa kibongo hujui kupika? Ina maana Natalia hujawai kupika hata ulivyo kuwa kwenu?
Daaaah yaani mtoto wa kibongo hujui kupika? Ina maana Natalia hujawai kupika hata ulivyo kuwa kwenu?
Mimi ni atheist.i love Christmas
Natalia mmeo ametengeneza kitu kama hii?.
Hongera kwa kutojua kupika mdada. Kama unapenda kula vyakula vizuri utajua kupika tu.
Yaani tumemaliza kula turkey sipendi hata kidogo .ila shopping begins at 8pm. Samsung 65 inch LED dollar 300 SAMs club na nunua halafu natuma bongo kuwagonga dollar 2000 na tayari Nina wateja bongo kweli kazi iPo .kuna msiba Newyork kuna mtoto amefariki mtanzania inabidi kwenda .huku ninapokaa hakuna wabongo
Sharp | - | 60" Full HD 1080P LCD-TV With 120Hz |
Model: LC-60E69U| SKU: LC60E69U |
|
SRP | $1,299.99 |
Off SRP | $622.99 |
Your Price | $677.00 |