Happy thanks giving kwa wapendanao mpikie umpendae na siku yakuwa na family

Natalia

JF-Expert Member
Jul 3, 2011
4,324
1,892
Yaani Natalia kupika zero kwa hiyo mume wangu anaingia jikoni.Turkey na dressing ,sweet potatoes uwii na vingine vingi.happy thanks giving again
 
Daaaah yaani mtoto wa kibongo hujui kupika? Ina maana Natalia hujawai kupika hata ulivyo kuwa kwenu?

Yaani Natalia kupika zero kwa hiyo mume wangu anaingia jikoni.Turkey na dressing ,sweet potatoes uwii na vingine vingi.happy thanks giving again
 
Mumeo atapika sweet potato souffle na honey baked ham?
Kusema ukweli sipendi hayo mavyakula 5000 calories na hisi.turkey and gravy hell .kuna mdada anakaa newhaven ananipikiaga pilau naidubiri mnooo.
 
Mumeo atapika sweet potato souffle na honey baked ham?
Kusema ukweli sipendi hayo mavyakula 5000 calories na hisi.turkey and gravy hell .kuna mdada anakaa newhaven ananipikiaga pilau naisubiri mnooo.
 
Hongera kwa kutojua kupika mdada. Kama unapenda kula vyakula vizuri utajua kupika tu.
 
Hii sikukuu inamaanisha nini hebu tuelewesheni kwanza. Tushazoea mapinduzi zenji, Nyerere day, xmass Idd Mubarak
 
slide_263920_1773539_free.jpg

Natalia mmeo ametengeneza kitu kama hii?.
 
slide_263920_1773539_free.jpg

Natalia mmeo ametengeneza kitu kama hii?.

Yaani tumemaliza kula turkey sipendi hata kidogo .ila shopping begins at 8pm. Samsung 65 inch LED dollar 300 SAMs club na nunua halafu natuma bongo kuwagonga dollar 2000 na tayari Nina wateja bongo kweli kazi iPo .kuna msiba Newyork kuna mtoto amefariki mtanzania inabidi kwenda .huku ninapokaa hakuna wabongo
 
Kuna hii hapa Bestbuy nayo bei karibu na bure!.
Samsung - 55" Class (54-5/8" Diag.) - LED - 1080p - 120Hz - HDTV

On Sale
$799.99

Regular Price: $1,499.99
You Save: $700.00

Free Shipping

Kuna hii hapa Bestbuy nayo bei karibu mna bure!.
Samsung - 55" Class (54-5/8" Diag.) - LED - 1080p - 120Hz - HDTV

On Sale
$799.99

Regular Price: $1,499.99
You Save: $700.00

Free Shipping

BrandsMart U.S.A. wana hii:

Sharp

-

60" Full HD 1080P LCD-TV With 120Hz

Model: LC-60E69U| SKU: LC60E69U

Manufacturer's Warranty: 12 Months Parts
12 Months Labor
In Home Service

SRP
$1,299.99
Off SRP $622.99
Your Price $677.00
 
hey. ... i say shame, shame, shame, shame on you If you can't cook
 
LED Za kumwaga SAMS halafu mimi nakaa gulford ct yaani hamna mwafrika hata mmoja wazungu tuu.sasa Mbona raha hamna watu mlangoni wala nini.halafu hata zile HDTV Yale na tv makubwaa ya kwanza kutoka yaani 70 inch dollar 450 hili kuna mtu bongo atanunua kwa million 8.ufisadi inaendelea
 
Back
Top Bottom