Happy thanks giving kwa wapendanao mpikie umpendae na siku yakuwa na family

Kuna hii hapa Bestbuy nayo bei karibu na bure!.
Samsung - 55" Class (54-5/8" Diag.) - LED - 1080p - 120Hz - HDTV

On Sale
$799.99

Regular Price: $1,499.99
You Save: $700.00



Free Shipping



Mimi hapa best buy mwanangu mpaka millford ct mbali .Halafu unakumbika last year best buy waliuza IPAD fake
 
LED Za kumwaga SAMS halafu mimi nakaa gulford ct yaani hamna mwafrika hata mmoja wazungu tuu.sasa Mbona raha hamna watu mlangoni wala nini.halafu hata zile HDTV Yale na tv makubwaa ya kwanza kutoka yaani 70 inch dollar 450 hili kuna mtu bongo atanunua kwa million 8.ufisadi inaendelea

Mmh Natalia bwana, labda hilo 70 inch kwa $450 ni TV aina ya INSIGNIA, nina uhakika sio Sumsung!.
 
Mmh Natalia bwana, labda hilo 70 inch kwa $450 ni TV aina ya INSIGNIA, nina uhakika sio Sumsung!.

Yale ya zamani cheki walmart.com.unajua yakitokaga Rent a center na Aaron's wanayawahi wanapandishi 4 times
 
natalia usisahau ukinunua mzungu ndo abebe,, kumbe wake wa muzunguu , matawi ya juu km natalia wanakimbilia vya selii piia!!:confused2:
 
Back
Top Bottom