Happy new year toka kwa tom hardy

storyteller

JF-Expert Member
Nov 5, 2014
1,511
1,844
Hii imenishangaza sana, naangalia muvi ya revenant, imefika scene flan ivi tom hardy akiwa na jamaa wakizungumza, ambapo mida hiyo hapa bongo exactly saa6 kamili watu wanashangilia new year huko nje, jamaa katamka "happy new year" nimeona ni kitu cha ajabu sana, coz hii ni movie, na mimi naetizama ni real.....

Wataalam em jaribuni kuelezea kama kuna mahusiano yoyote, kivyovyote, au hii ina maana gani..?
 
Back
Top Bottom