Happy Maulid Day

Don san tan

JF-Expert Member
May 23, 2015
562
433
Nachukua nafasi hii kuwatakia Waislamu wote Sikukuu njema ya Maulidi. Mwenyezi Mungu awabariki Sana. Naomba kwa neema zote na kwa nafasi mliyo nayo Mliombee Taifa letu liweze kusonga mbele na kuwa na Amani ya kudumu. Tumwombee pia Rais wetu na viongozi wengine wa Serikali waweze kutumia Busara pale inapobidi kuchukua Maamuzi magumu kwa Maendeleo ya nchi yetu pendwa.


Nawatakia Maulidi Njema.
Ahsante sana kwa kusoma.
 
Thread nzuri ila imeharibiwa na baadhi ya maneno humo ndani pamoja na hiyo id
 
Back
Top Bottom