Happy Holidays

Joeli

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
4,941
3,396
merry%20xmas.gif




dear Jf friends and chitchatters,

ngoja niswitch language...
mmmmhh(naguna kuweka koo poa)

hope hamjambo marafiki wa jf na wanachichat kwa ujumla.
hatimae ni mwisho wa mwaka, sio wote waliobahatika kuuona mwaka ukikatika, rip wote waliotangulia,

wakati huu ndo wakati wa kuji evaluate umefanya nn tangu mwanzo wa mwaka, je malengo yametimia au lah? kama hapana hapana je nn kifanyike ili mwakani mambo yaende poa,

nisiwe na maneno meeengi,

nawatakia wooote sikukuu njema za noeli na mwaka mpya, mimi nitakuwa mwanza Mungu akipenda,

nawaacha na kibao cha mwanamuziki Wham - Last Christmas.... usikilize hapa>>>> http://www.erdreich78.com/images/stories/whamlastchristmas.mp3 (nilitosana na demu xmas ya mwaka jana) kabla sijaamua kuwa na charminglady for good.


ni mimi
@c6
merry-christmas20.jpg
 
Last edited by a moderator:

Mbona umenilegezea macho na unaonyesha uhitaji wa chum langu?? Hebu angalia ulivyokubali kukamatwa tena sidanganyiki unaisema kimahaba eti jamani bby sidanganyiki niachie nikafikirie...halafu naogopa kukamatwa...kwikwikwiiii
 
Last edited by a moderator:
Happy holidays kwenu nyote, kama we ni MCHAGA, usiache kwenda kuitikia namba KISHUMUNDU, MACHAME, ROMBO, MARANGU na hadi kule SANYA...
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom