Happy holiday | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Happy holiday

Discussion in 'Entertainment' started by Kandambilimbili, Apr 9, 2009.

 1. Kandambilimbili

  Kandambilimbili R I P

  #1
  Apr 9, 2009
  Joined: Nov 11, 2008
  Messages: 782
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  I wis you all HAPPY HOLIDAY, PLEASE

  While keeping water by drinking beer.
  DO NOT DRIVE AND DRINK.
  KEEP YOUR ROADS ON YOUR EYEZ
  Cheza salama kama lazima na usiwakanyage wenzio.

  please add..............
   
  Last edited: Apr 9, 2009
 2. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #2
  Apr 9, 2009
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Same 2 U Kandambilimbili... Japo kitaani hakuna Tusker Lager...
   
 3. senator

  senator JF-Expert Member

  #3
  Apr 9, 2009
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  [​IMG]
   
 4. senator

  senator JF-Expert Member

  #4
  Apr 9, 2009
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  hapo ni mwendo wa kuruka gospel music mpaka anafufuka masiha!
   
 5. M

  Msindima JF-Expert Member

  #5
  Apr 9, 2009
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,018
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Happy Easter to all JF members
   
 6. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #6
  Apr 9, 2009
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Thank you mr/ms Kandambilimbili kwa kuwa umeniwahi katika kutuma salaams za Easter. Ninapenda kuwatakia wana JF wote Easter njema yenye baraka na fanaka. Kwa wazazi na walezi tuwe na familia zetu, tufurahie pamoja.Pia kwa marafiki au wachumba mpate nafasi nzuri ya kutafakari hatima ya mahusiano yenu. Amani itawale kwa makundi yote mawili. Tuwe baraka kwa wale wanaotuzunguka wakiwemo, marafiki, adui, majirani, wagonjwa, yatima na wajane/wagani. Ni siku nne tu lakini tuzifanye miaka minne ya faraja kwa wengine.

  Tuwe makini sana na matembezi ya sikuku hasa yale ya fukweni. Kumbukeni kwa wanaoishi Tz na jirani na bahari ya hindi huu ni wakati wa upepo na mvua ambazo ni hali za hewa ambazo huwezi kuzi determine so hakikisha watoto wako hawatoki bila uangalizi wa mtu mzima. Na pia si lazima kutoka kama hali ya hewa ni hatarishi.

  Others are invited to add more. Once again, I wish you all the best, gain fresh breath and strenth to serve our nation.
   
 7. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #7
  Apr 9, 2009
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Happy easter jf team.....kesho kwa wa wakristu msinywe vileo wala kula nyama....jumamosi castle zitakuwa za baridi vya kutosha....break point,na kitaaa.....uku mbali naona hata hakuna shamla shamla sana ni kwa mmoja mmoja sana...kama mjuavyo wenzetu ni kazi mambo ya sherehe wao ni kila siku...kwenye bar bbq..na beer...kesho mnaamka nao kwenye kazi....
  Happy easter
   
 8. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #8
  Apr 9, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  JF Team
  As we approach the historical and memorable resurrection of Jesus Christ, I wish you a very pleasing time with your families.
  Enjoy Easter occasion with true meaning!..Cheers
  Have a long weekend!..
   
 9. Kandambilimbili

  Kandambilimbili R I P

  #9
  Apr 10, 2009
  Joined: Nov 11, 2008
  Messages: 782
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  teheeee KANYWE TOGWA
   
 10. Kandambilimbili

  Kandambilimbili R I P

  #10
  Apr 12, 2009
  Joined: Nov 11, 2008
  Messages: 782
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  nyama choma zilikuwa sawa na KAKAKUONA siku ya jumaa
   
Loading...