Happy Birthday to you Comrade Paul Makonda

Mi navojua mkuu wa mkoa dar anaitwa Paul Makonda, ila huyo D.A.B ambaye ni wa kusadikika aliyeibuliwa na "mchungaji mla kondoo" na kukuzwa na malaya wa kibongo aishie USA kwa Pompeo hahusiani kabisa na huyu P.C.M...

hatuwezi kuwa tunapata taarifa kutoka kwa "watu wa hovyohovyo" kma hawa makahaba wawili
 
Eti Mkuu babaako ni yupi?

NAKUOMBEA kheri afya mafanikio lakini zaidi nakuombea ufunguliwe katika Ban ya America mtani wangu


Heri Ya Siku Yako Adhiiim Baba KeaganView attachment 1358265

Sent using Jamii Forums mobile app
370A37F1-CCA8-41A3-A65F-AE5BE53AB879.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom