Happy birthday to me

Miss Neddy

JF-Expert Member
Nov 3, 2013
14,681
8,707
leo i am new born nimetimiza miaka 23 tu my mama anasemaga nisijipe presha za ajabu ajabu nile raha za utoto kwanza
yeye ananiona bado kinda sana ukizingatia ni mtoto wa mwisho ndo kabisaaaaaaaaaaaaaa give me hopes in my future please ukizingatia niko chuo first year nahitaji experience kutoka kwenu wakongwe
 
Happy birthday miss neddy,Mungu akujalie maisha marefu ya Furaha,Amani,Afya njema na mafanikio tele!Uwe mtoto mzuri!Usome,hilo ndo la muhimu sana kwako sasa!
 
Last edited by a moderator:
Happybirthday!!! Afu ulivyoweka hivo vimiaka vyako unanishtua nyongo ujue...itabidi inipize na kakipande ka keki!!!!!
 
leo i am new born nimetimiza miaka 23 tu my mama anasemaga nisijipe presha za ajabu ajabu nile raha za utoto kwanza
yeye ananiona bado kinda sana ukizingatia ni mtoto wa mwisho ndo kabisaaaaaaaaaaaaaa give me hopes in my future please ukizingatia niko chuo first year nahitaji experience kutoka kwenu wakongwe
wakongwe wa ngono?,..ok mi nakumpa ushauri,kwakua mamako anataka uendelee kujirusha ili ufurahie ujana basi usisahau kuwambia wanaume unakutana nao kimwili wawage wanavaa condom.

Vinginevo miaka 35 utaisikia kwenye kipindi cha majira tu,kwani hutoifikia.
 
sio hivyo kwanza me sio mtu wa kujirusha kabisaaaaaaa
 
I believe u have climbed high mountains, walked on thorny paths, sailed on the raging seas and took a ride on dangerous highways.

C'mon let's face it; Your God - Jehova has always been faithful all the way. Enjoy your day, you are worth it.

Happy Birthday.
 
I only reach 23 years ...??? Ushauri wa bure b.day girl ... Jifunze ngeli ...
 
leo i am new born nimetimiza miaka 23 tu my mama anasemaga nisijipe presha za ajabu ajabu nile raha za utoto kwanza
yeye ananiona bado kinda sana ukizingatia ni mtoto wa mwisho ndo kabisaaaaaaaaaaaaaa give me hopes in my future please ukizingatia niko chuo first year nahitaji experience kutoka kwenu wakongwe

hbd to u,may u live to blow 100 candles,hebu ka picha basi tukuone mtoto wa mama
 
i mean nimetimiza miaka23

haya hongera na
HAppy birthday miss neddy...

take my cake tafadhali

images
 
Last edited by a moderator:
leo i am new born nimetimiza miaka 23 tu my mama anasemaga nisijipe presha za ajabu ajabu nile raha za utoto kwanza
yeye ananiona bado kinda sana ukizingatia ni mtoto wa mwisho ndo kabisaaaaaaaaaaaaaa give me hopes in my future please ukizingatia niko chuo first year nahitaji experience kutoka kwenu wakongwe

Mtoto mbichiiiiii... Dah Mda umefika wa kujituliza au kujiachia. Ushauri wa mama uwe wa kujituliza sio kila mtu aje kula raha kwako ukabaki na Maumivu. Dats all
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom