Happy birthday to me..!!!

Negrodemus

JF-Expert Member
Dec 30, 2010
2,316
676
Leo ni siku yangu ya kuzaliwa natimiza miaka kadhaa namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kuniwezesha kufika hapa.
Kwa walio karibu wanakaribishwa kutakua na party ndogo hapa Mkoani kwetu Lindi.
Napenda kuchukua fursa kuwakaribisha na kujumuika nami katika siku hii karibuni...
 
Happy_Birthday_35668-600x340.jpg
 
Leo ni siku yangu ya kuzaliwa natimiza miaka kadhaa namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kuniwezesha kufika hapa.
Kwa walio karibu wanakaribishwa kutakua na party ndogo hapa Mkoani kwetu Lindi.
Napenda kuchukua fursa kuwakaribisha na kujumuika nami katika siku hii karibuni...

Happy birthday!Mungu akujalie maisha marefu ya Furaha, Afya njema,Amani na Mafanikio tele
 
Nakutakia heri ya siku njema yakuzaliw!! Mungu akupe Afya na Hekima
 
happy birthday bestito Mungu akupe maisha marefu hapa duniani uishi kama Late Madiba N. Mandela
Leo ni siku yangu ya kuzaliwa natimiza miaka kadhaa namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kuniwezesha kufika hapa.
Kwa walio karibu wanakaribishwa kutakua na party ndogo hapa Mkoani kwetu Lindi.
Napenda kuchukua fursa kuwakaribisha na kujumuika nami katika siku hii karibuni...
 
Hongera sana , kula vizuri , badilisha mboga! Piga kipara kwa kwenda mbele (as if Me , if Ke vice versa)
Ondoa mastress ili mwakani tukuwish tena .
 
Maisha marefu yaliyosheheni kila aina ya furaha ndiyo ninayokutakia. Hpbrthdy toto zuri
 
Leo ni siku yangu ya kuzaliwa natimiza miaka kadhaa namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kuniwezesha kufika hapa.
Kwa walio karibu wanakaribishwa kutakua na party ndogo hapa Mkoani kwetu Lindi.
Napenda kuchukua fursa kuwakaribisha na kujumuika nami katika siku hii karibuni...

Hepi Boni Dei to me .
Nami nimezaliwa leo
 
thanx all for ur wishes and prayers niliugua sana siku ya tarehe 7 na ndi siku yangu ya kuzaliwa but namshukuru mungu nimesimama tena............
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom