Kweli wamjua vizuri binamu yakoNamie nilitaka kumwambia Sesten Zakazaka kuwa binamu yangu akisoma hizi comments kwa jinsi nnavyomjua atakuwa anacheka tu Wallah.
Kwa maana wee muda wote ni mtu wa kufurahi tu mpaka raha yaani.
Tena umenikumbusha maana anamsemo wake mmoja huo et yeye daima mbele nyuma hapanaAisee chonde chonde nyuma ya binam yangu naomba usikae mara 10 ukae kulia ila sio nyuma wala mbele ati.
Tafwadhal...!
Aamin aamin aaminKabisa aisee ni damu yangu hiyo namjua uzuri kabisa. Muda wote yee ni mtu wa furaha tu yaani.
Am sooo glad to have u as my cousin Wallah. Nafarijika sana kuwa na binam kama wewe ALLAH anitunzie Wallah.
Thanks a lot binamu. 🙏🙏🙏Kabisa aisee ni damu yangu hiyo namjua uzuri kabisa. Muda wote yee ni mtu wa furaha tu yaani.
Am sooo glad to have u as my cousin Wallah. Nafarijika sana kuwa na binam kama wewe ALLAH anitunzie Wallah.
Wahenga walishamaliza misemo yote ujue Shadeeya, kuna ule unaosema "chelewa chelewa utakuta mwana si wako"
Ewaaa!!!Hahahahah usjali Nam nakuja nyumbani muda si mref In Shaa Allah.
😊😊😊
Wahenga walishamaliza misemo yote ujue Shadeeya, kuna ule unaosema "chelewa chelewa utakuta mwana si wako"
Labda kama binam yako kakuwekea
Hapo sawa, wahenga wapo vizuri sana hawajaacha kituIla pia wahenga hao hao wanasema zimwi likujualo halikuli likakwisha lazma litabakiza sehemu kwa niaba ya.
Kwa hiyo wala asijali kuhusu hilo Nam.