Happy birthday to me

Joseverest

Verified Member
Sep 25, 2013
42,861
2,000
Hongera kwa siku ya kuzaliwa...Baraka nyingi zikufikie, Mshukuru Mungu na wazazi kwa ulivyofika hapa!! Akujalie maisha mema na baraka..

[HASHTAG]#KekiWapiLeo[/HASHTAG]
 

Bobdon

JF-Expert Member
Jun 8, 2017
202
500
Happy birthday Mdada mzuri.

Mungu akutangulie uendelee kutunza unatural wako hivyo hivyo usije ukafuata nyayo za wadada fake.
 

Perfectz

JF-Expert Member
May 17, 2017
6,691
2,000
Heri ya kuzaliwa mya friend ubarikiwe sana na uishi maisha marefu kufikia ndoto zako.Leo kwa mara ya kwanza nimeiona picha yako.
 

Paprika

JF-Expert Member
Feb 25, 2017
6,003
2,000
Happy birthday Mamy!!!
Mungu akupe maisha mareeeeeeefu yenye baraka na mafanikio tele!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom