Ndallo
JF-Expert Member
- Oct 1, 2010
- 7,619
- 4,292
Wakuu wenzangu sina budi kumshukuru Mungu kwa kila jambo katika maisha yangu aliyonijalia hadi leo hii nimeweza kuiona siku hii ya leo. Napenda kwaataarifu wanajanvi wenzangu leo ndio ile siku yangu ya kuzaliwa japokua umri wangu ni siri yangu mimi na familia yangu kwahiyo napenda kujipongeza kwa kusema happy birthday to me! nimezaliwa tarehe 10/09/!!!!!!!! asanteni sana kwa wale wanaopenda kujumika na mimi katika siku hii nitakua pale maeeneo ya Soweto Garden Arusha nashusha vitu kwaulaini huku nikiwa nimevaa Nepi! Karibuni sana wanajanvi wenzangu.