Happy Birthday to Me & Merry Christmas to you all!

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,090
Kwa wale wote tuliokuwa nao katika mwaka mzima tangu sikukuu ya mwaka jana mpaka leo. Nashukuru pia kwa wale walionipa heri ya siku yangu ya kuzaliwa pamoja na sikukuu ya Christmas. Kwa moyo mkunjufu na wenye mapenzi tele napenda kuwaambia wote;
"Merry Christmas"
 
Happy birthday M'Jr happy birthday Mesiah thanx for all your our saviour.
 
Last edited by a moderator:
Kwa wale wote tuliokuwa nao katika mwaka mzima tangu sikukuu ya mwaka jana mpaka leo. Nashukuru pia kwa wale walionipa heri ya siku yangu ya kuzaliwa pamoja na sikukuu ya Christmas. Kwa moyo mkunjufu na wenye mapenzi tele napenda kuwaambia wote;
"Merry Christmas"

Merry Christmass and Happy Birthday.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom