Happy Birthday To G. O. A. T Lionel Andres Messi

Sauti ya Mamlaka

JF-Expert Member
Aug 5, 2017
1,467
2,144
Happy birthday to this talented man who is making footbal enjoyable

Thank you God for gift of Lionel Messi in footbal
IMG_20200624_214144.jpeg
IMG_20200624_214234.jpeg
 
Kwahiyo tukusaidieje labda?
Namaanisha ni mchezaji Bora wa Barca ambaye ameshindwa kuipasha Argentina katika mashindano makubwa Kama wafanyavyo wachezaji wakubwa duniani. Ila atabaki kama alama ya Barca kwa muda mrefu kama Maradona alivyo alama ya soka la Argentina.
 
Hivi ni kweli huyu jamaa aliitwa Lionel kwa sabababu wazazi walikuwa wanamkubali legendary wa muziki Lionel Richie?
 
Namaanisha ni mchezaji Bora wa Barca ambaye ameshindwa kuipasha Argentina katika mashindano makubwa Kama wafanyavyo wachezaji wakubwa duniani. Ila atabaki kama alama ya Barca kwa muda mrefu kama Maradona alivyo alama ya soka la Argentina.

Wewe sio mwanasoka bali ni shabiki tu usiejua nini maana ya soka, means upo upo tu...tena hao uliowataja Yo soy el diego armando and La pulga man ndio wamenifanya niupende mpira na kuufurahia...wana kila kitu cha kunifanya niwakubali zaidi ya mchezaji yeyote duniani, kuuchezea mpira watakavyo they can, kwenye mafanikio ndio usiseme...

Okay turudi kwenye hoja...umesema ameshindwa kuipaisha Argentina katika mashindano makubwa, hoja yako ni dhaifu kuwahi kutokea...mara ya ngapi ameipeleka timu yake in the final ila wenzie tu hawampi ushirikiano! hulijui hilo, au ulitaka acheze peke yake uwanjani!! Hicho sio kigezo kijana...

Nikuulize swali moja tu,

Zidane dhidi ya Brazil 1998
Iniesta dhidi ya Holland 2010
De lima dhidi ya Germany 2002
Fabio grosso and Pirlo dhidi ya france 2006
Gortze dhidi ya Argentina 2014
Griezmann dhidi ya Croatia 2018

So kigezo cha mchezaji kuwa bora ni only national team sio! Kama ni hivyo hata hao niliowalist it means ni bora zaidi ya Messi kwakuwa tu wamezifungia timu zao za taifa!

Basi hata pele sio bora kwakuwa tu hakucheza ulaya, na club alizowahi kucheza ni ndogo santos na cosmos sio?

What is the logic of your argument
?
 
Hajui mpira wala hana records
 
Mimi kweli sijui mpira kwakua sijawahi kucheza ata Ligi daraja la tatu, Mimi ni shabiki Kama walivyo mashabiki wengine. Ukweli uliopo na ambao utaendelea kuwepo kwa vizazi vingi Mess kulingana na rekodi zake atabaki kua gwiji la soka pale Barca nisawa na Gerald wa Liverpool, Franz Beckenbauer Beyern, Franco Baresi,Paolo Maldin AC Milan n.k

Ila samahani kumweka Mess kwenye kundi la kina Beckenbauer , Maldin na Bares nimefanya upendeleo mkubwa sana. Kwakua ao jamaa ni magwiji wa kombe la dunia. Yotekwayote heshma nampa Mess kwakua atabaki kwenye sayari yake yakua Legendary wa Barca.
 
Kijiwe cha kahawa kinakusubiri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom