#-#-# Happy Birthday Sangara#-#-#

AshaDii

Platinum Member
Apr 16, 2011
16,190
18,076

Today is a day with a Speacial date which is supposed to make you feel
like a Speacial person…. That because it is one of those
days in which history brought you on Earth….

Today is a day of which you fight by hook and nails kuhakikisha Nobody…
and I mean Nobody dares to make you feel negative towards
any thing in life… For Originally leo ilitakiwa usahau matatizo yooooote…
Pressures zooote… Ma stress yooote – For the simple reason
kua in life once in a while your life matters more than anything…
And today Sangara ndio hio Once in a while to you….

Sangara rafiki yangu… Mwenyezi Mungu akujalie, akuuneemeshe na akubariki katika
Maisha yako uweze songa Miaka mingi Mbele huku
akiitikia Dua ya yale ambayo ni muhimu katika maisha yako….

:A S crown-1: I am Wishing you a LOVELY MEMORABLE BIRTHDAY :A S crown-1:

With a bonus of "EID MUBARAK"

P.S: Thanks for being a good friend…

Pamoja Saaana.
ADI.

Tukisheherekea Happy Bday yako Sangara!!
Pia leo hii twakumbuka mengi kwenye ecosystem yetu!
Ni siku ambapo sangara alikuwa introduced kwenye nyanza yetu!
Siku iliyoje, siku ya furaha na majonzi kwa viumbe ziwani!

Ujio wa sangara ulileta neema kwa wavuvi papara!
Ujio wa sangara uliambata na sifa za uvuvi wa kukurukakara!
Vifijo vya ujio wa sangara vyaambatana na majonzi kwa nembe na furu!
Vifijo vya minofu ya sangara vyaendana na vilio kwa sato na balara!

Happy birthday sangara, kwakherini gogogo na ningu!
Happy birthday sangara, mtemi wa fillet kupishwa chunguni!
Happy birthday sangara, shee na kambale pekee kubakia!
Happy birthday sangara, utamu asili ziwani kuuchakachua!

Happy Birtday Sangara, Nimehamia pwani kula pweza na nguru!!!!! :)

Steve Dii (Mwangi wa Handaki)
 
Ashadii...nashukuru sana kwa kunitakia heri ya siku yangu ya kuzaliwa.
Umekuwa rafiki yangu siku zote tangu tufahamiane na namshukuru sana Mungu kwa kutukutanisha.
Eid hii iwe njema sana kwako na familia yako.
S.
 
Tukisheherekea Happy Bday yako Sangara!!
Pia leo hii twakumbuka mengi kwenye ecosystem yetu!
Ni siku ambapo sangara alikuwa introduced kwenye nyanza yetu!
Siku iliyoje, siku ya furaha na majonzi kwa viumbe ziwani!

Ujio wa sangara ulileta neema kwa wavuvi papara!
Ujio wa sangara uliambata na sifa za uvuvi wa kukurukakara!
Vifijo vya ujio wa sangara vyaambatana na majonzi kwa nembe na furu!
Vifijo vya minofu ya sangara vyaendana na vilio kwa sato na balara!

Happy birthday sangara, kwakherini gogogo na ningu!
Happy birthday sangara, mtemi wa fillet kupishwa chunguni!
Happy birthday sangara, shee na kambale pekee kubakia!
Happy birthday sangara, utamu asili ziwani kuuchakachua!

Happy Birtday Sangara, Nimehamia pwani kula pweza na nguru!!!!! :)

Steve Dii (Mwangi wa Handaki)

Maalim Steve...ubarikiwe sana...Eid njema kwako.
 
Happy birthday Sangara. Mwenyezi Mungu akujaalie salama, uwe na maisha marefu yenye heri na fanaka! Ubarikiwe sana rafiki.
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom