Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,053
- 74,460
Mdogo wangu we! Dah safari hatua, hata hivyo nimesema tukijaaliwa lakini nahisi itanichukua muda mrefu hadi kuja kurudi. Ningekuelewesha vizuri ila Kassim Majaliwa hupatikani.Kaka bado hujarudi jamani
Shkamoo kaka B