Happy Birthday Sakayo

Mdogo wangu we! Dah safari hatua, hata hivyo nimesema tukijaaliwa lakini nahisi itanichukua muda mrefu hadi kuja kurudi. Ningekuelewesha vizuri ila Kassim Majaliwa hupatikani.
Kaka yangu mimi!.
Kumbe ni suala la muda jamani! Usijali kaka, mimi mvumilivu sana!

Nitakusubiria tuu jamani!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom