Happy Birthday Pascal Mayalla

Naona tuna_share tarhe ya kuzaliwa.

Happy Birthday, Pasco Mayalla Snr,
May your day be filled with joy and cheer,
As you celebrate another year.

And to Pasco Mayalla Jnr, too,
May your birthday be a dream come true,
Filled with love and all that's new.

Some believe in coincidences,
That they just happen by chance,
But with manifestation and intention,
We can turn them into a dance.

So let's celebrate these special days,
And send our wishes in many ways,
For Pasco Mayalla Snr and Jnr,

May your birthdays be filled with splendor.
Thanks, Happy Birthday to you too!.
P
 
Mkuu Freed Freed , kwanza asante kwa bandiko hili, japo mwaka umekosewa ila tarehe yenyewe ni sawa.

Ila pia Birthday yangu ime coincide na birthday ya last born wangu ambae nae anayeitwa Pasco jnr, au PiiJei, yeye alizaliwa tarehe kama ya leo last year na niliposti humu https://www.jamiiforums.com/threads...inevyo-ni-kubebesha-watu-mizigo-yako.1972184/

Hivyo leo ni
Happy Birthday to Pasco Mayalla Snr
Happy Birthday to Pasco Mayalla Jnr
Kuna watu wanaamini it's just a coincidence, imetokea tuu, lakini naomba niwahakikishie some coincidences, mtu unaweza kuzi coincidencesisha kwa kutumia manifestation kwa kutumia kauli umba!.

Kauli umba ni kuitumia wish au kauli kukuumbia jambo lako.
Unawe kutembelea uzi huu ukaangalia baadhi ya kauli umba zangu https://www.jamiiforums.com/threads...na-kauli-umba-ambazo-huumba-shuhudia.2013308/

NB. Sio lazima kila utakachokiumba kwa kauli umba ni lazima kitokee, kauli umba nyingine huwa zina goma!. Mfano ile 2014 niliposema https://www.jamiiforums.com/threads...ccm-2015-could-be-john-pombe-magufuli.707165/

Halafu 2015 nikabadili mawazo na kusema https://www.jamiiforums.com/threads...ulu-kiongozi-tunayemtaka-mdomo-huumba.951114/ ile kauli umba ya 2014 ndio ilitiki, ile ya 2015 iligoma!.

Nguvu hizi na uwezo wa kusema kitu na kikatokea ni kila mtu anao, ila kuna wengi hawajitambui kuwa wanazo nguvu hizi

Happy Birthday me
Happy Birthday PiiJei (Pasco Jnr)

P
Happy birthday kwako na mwanao.

Wewe ni moja ya watu wachache sana wenye mapenzi ya kweli na JF na mtu muungwaana sana.

Mbarikiwe.
 
Back
Top Bottom