Happy Birthday pacha wangu carmel...!

Teamo

JF-Expert Member
Jan 9, 2009
12,272
1,034
carmel is my twin sister...(kama ingefaa kujitambulisha).

tulizaliwa siku moja...mama mmoja...baba mmoja.....temeke hospitali mnamo tar 27th-september.tulibatizwa sote pale kanisa katoliki chang'ombe miezi sita baadae!...kila mtu alikuja ingia jamiiforums kwa time yake na aidii yake tofauti.lakini mwaka jana nimejua kuwa kumbe carmel ni yule yule 'pacha wangu' wa ukweli!

MUNGU AKUJAALIE MAISHA MAREFU MAMA!

LONG LIVE CARMEL!

WA AMANI!
 
Waoooooh! Jamani inapendeza sana! Mwenyezi Mungu awajaalie maisha marefu wewe na pacha wako Carmel mzidi kupendana na kuwajali wengine pia! HAPPY BIRTHDAY TO YOU TWINS!
 
Nzuri sana!
Happy birthday! Mungu awape maisha marefu yaliyojaa upendo na amani!
 
tunawashukuru sana wakuu!....

pacha wangu anawapenda wote
 
shukrani zetu za dhati ziwaendee wote mnaotutakia mema
 
happy birthday twins double fun.jpg

furahia siku ya kuzaliwa pacha wangu.
 
Happy birthday mapacha wawili.

Sababu nyingine ya kukatiza dozi leo!

Mwambie pacha wako, bithday mate wa mume wake nampa hongera na kumtakia maisha marefu.

Nawe muzee ya amani pia nakutakia Maisha Marefu, upate watoto wengi wa kike waizunguke meza yako wakati wa chakula.
 
Happy birthday to you and your twin mungu awape maisha marefu na yenye kumpendeza. i wish tushehereke pamoja kwani natamani sana kuwajua na kuwafahamu watu nilio zaliwa nao siku moja mwezi mmoja kama leo haijalishi ni mwaka gani amezaliwa bali huwa napenda kuwajuwa.

Msheherekee kwa upendo.
 
Inapendeza. Furahieni siku yenu ya kuzaliwa kwa furaha.
Mungu awazidishie maisha.
Hongereni Mapacha (BBoy & BGirl)
 
Hongereni sana kwa kuongeza siku!!

Happy birthday wapendwa..(hivi kwa kiswahili chetu tunasemaje???)
 
pamoja sana wakuu wangu!....

pacha wangu yupo labour...!nitawapa habari njema in no time
 
Happy Birthday Teamo!!
Mungu akujaazie siha na akuongezee URIJALI illi kila wakati wa jamii watu wauone ubora wako na kusambaza sifa zako katika jamii inayokuzunguka pamoja na jamiiforums.

Happy birthday Dada Carmel,
Mungu akuongeze UTAMU na UKARIMU ili kila mtu unayekaribiana naye aone kuwa umebarikiwa.

Nawatakieni mapacha nyie furaha tele katika JAMII ZENU.

Kilichounganishwa na mimba mwanadamu asikitenganishe!!!

carmel is my twin sister...(kama ingefaa kujitambulisha).

tulizaliwa siku moja...mama mmoja...baba mmoja.....temeke hospitali mnamo tar 27th-september.tulibatizwa sote pale kanisa katoliki chang'ombe miezi sita baadae!...kila mtu alikuja ingia jamiiforums kwa time yake na aidii yake tofauti.lakini mwaka jana nimejua kuwa kumbe carmel ni yule yule 'pacha wangu' wa ukweli!

MUNGU AKUJAALIE MAISHA MAREFU MAMA!

LONG LIVE CARMEL!

WA AMANI!
 

Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom