Happy Birthday Nape Nnauye, Mzee wa Goli la Mkono

Jerlamarel

JF-Expert Member
Sep 14, 2021
843
2,517
Baba yake alikuwa Brigedia Jenerali tena mshauri wa Rais masuala ya siasa.

Yeye akasoma Mzumbe na masomo ya juu zaidi India. Akawa mkuu wa Wilaya, katibu itikadi na Uenezi CCM kisha akawa Mbunge na Waziri.

Mzee wa goli la mkono, leo ametimiza umri wa miaka 44.

NapeNauye.jpg
 
Wadau hatuhitaji kijua mengi kuna manufaa ya goli lenyewe la mkono, ila sii mbaya tukajua hata kama ilikuwa hasara. 🏃.
 
Baba yake alikuwa Brigedia Jenerali tena mshauri wa Rais masuala ya siasa.

Yeye akasoma Mzumbe na masomo ya juu zaidi India. Akawa mkuu wa Wilaya, katibu itikadi na Uenezi CCM kisha akawa Mbunge na Waziri.

Mzee wa goli la mkono, leo ametimiza umri wa miaka 44.

View attachment 2002374
Si ndiyo huyu alienda kuomba radhi, akachukuliwa kavideo kwenye jua kali mpaka anaingia Ikulu, daah wanasiasa mkipata nafasi wekezeni hata kidogo mnajidhalilisha sana
 
Alitembezwa kwa miguu jua Kali kutoka geti la ikulu mpk State House huku camera zikimmulika kumuaibisha,Nape anamwambia nisamehe baba nimekosa Sana,Magu naye anamjibu Nimekusamehe lkn kusamehe kunauma jamani,😁😁😁.
 
Back
Top Bottom