Happy birthday Mwenyekiti Taifa CHADEMA, KUB na mbunge wa Hai ndugu Freeman Mbowe

Haya MBOWE jibu swali hilo uliloulizwa na meya wako.
Mbowe kasifiwa kwa kuacha mali na uhondo na kufuata siasa za upinzani zisizokuwa na kipato. Sasa Mbowe ajibu nini hapo?Umenukuu kwa haraka maneno ya meya Jacob.Au unakimbilia Dodoma kuwahi sherehe za uhuru?
 
Happy birthday kiongozi mpendwa wa maisha wa jamhuri ya kidemokrasia ya Chadema Mheshimiwa Kim Jong Un Mbowe
 
Happy Birthday, hongera sana, Mungu akupe nguvu na maono ili uweze kuendesha uchaguzi wa Chama. Ameen.
 
Happy Birthday kamanda wa ukweli,Mungu akupe maisha marefu zaidi na akulinde
 
Hivi Mbowe alizaliwa tarehe ngapi au ana besideyi mbili kwa mwaka.
IMG_20190914_101426.jpeg
 
Back
Top Bottom