Happy Birthday Mandela!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,722
21,775
Mwandishi Wetu
Daily News; Tuesday,May 14, 2008



Wasanii zaidi ya 10 wanatarajia kupamba tamasha la kimataifa la kutimiza miaka 90 ya kuzaliwa kwa Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Nelson Mandela. Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Zain inayotoa huduma ya mawasiliano ya simu za mkononi kwa Afrika Mashariki na Kati, Dk. Saad Al Barrak alisema kuwa wasanii hao ni kutoka bara la Afrika na Ulaya.

Alisema tamasha hilo la siku tatu litaanza kufanyika Juni 27, London, Uingereza. Alitaja baadhi ya wasanii kuwa ni Papa Wemba , Suzanna Owiyo, Johnny Clegg, Sipho Mabuze Loyiso, Kwaya ya Injili ya Soweto, rapa wa Sudan, Emmanuel Jal, Queen & Paul Rodgers, Annie Lennox, Simple Minds, Leona Lewis, the Sugababes, Dame Shirley Bassey, Razorlight, Andrea na Sharon Corr, Eddy Grant, na Jamelia.


Al Barrak alisema kuwa tamasha hilo litakwenda sambamba na hatua ya kampuni yake ambao ndio wadhamini wa tamasha hilo kuchangisha fedha kwa ajili ya kazi za hisani. Alisema: “Tunaona fahari kuwa sehemu ya tukio hili la heshima kwa Mandela, aliyejitoa kwa ajili ya watu wa Afrika. Al Barrak alisema fedha zitakazochangwa katika hafla hiyo, zitatolewa kwa Mfuko wa Nelson Mandela ili zitumike kwa kazi mbalimbali za hisani ya jamii.

Pia Zain inafanya mipango kuhakikisha watu wa Afrika wanashuhudia tukio hilo. "Ni sehemu ya malengo ya Zain ya kujenga na kuimarisha ushirikiano miongoni mwa jamii, na tunafurahi kushiriki katika kuchangisha fedha kwa ajili ya Mfuko wa Mandela,” alisema Dk. Al Barrak. Aidha, Al Barrak alisema tamasha hilo litahudhuriwa pia na aliyekuwa rais wa Marekani Bill Clinton, Waziri Mkuu Gordon Brown wa Uingereza wakati wengine ni msanii Will Smith na Oprah Winfrey.
 
Hongera Sana Mzee Mandiba Ila Wasiwasi Wangu Angalia Watu Wasije Kukutumia Wakati Wa Uzee Wako Kuneemesha Ujana Wao...vyema Kama Watafanya Walivyosema Sema Maombi Yangu Mzee Upatechochote Kitu Kula Matunda Ya Uzee Wako Natumaini Ukufaidi Ujana Wako Kama Inavyotakiwa Mungu Si Wa Mwanakiijiji Wala Presdeshe Hivi Sasa Unakulaa Shushu
Mwanakijiji Jf Anaenda Nani Tunaitaji Mwakilishi
 
Sherehe Yafanyika London Mkuu Wamesema Wanaanzia Londoni Kuzunguka Africa....upo Mkuu
 
Shere Inaanzia London Mkuu Mwisho Inaishia Sa Kama Mwenge Wa Uhuru
Ndio Maana Kwangu Sijawahi Kuona Nkatoa Wazo Kwa Wahusika Wasimtumie Mzee Na Pia Kama Vipi Wamkumkumbuke Kimapato,,nimeona Wamedai Lengo Kuchangisha Michango Ya Hisani ...mmmh Vyema Kama Itafanyika Inavyotakiwa...narudia Leo
Happy Birthday
Babu
 
huyu mzee hana maana hata kidogo...aliamua kumsamehe Botha na makaburu wengine lakini alikataa kumsamehe Winnie kisa ati alikuwa ana mungunyuliwa na alihusika na kifo cha yule dogo
 
Mwanakijiji ,invisible,mtanzania,,& All Jf Members Tuorozesheeni Siku Zenu Za Kuzliwa Tuanze Kuzifanyia Kazi ....dar Mpaka Us....
 
Game Wacha Mchezo Bora Ujue Anaekumngunyua Mamayako Na Kujua Utakula Pesa Zake Kuliko Kujua Anaemngunyua Wife Wako Kaka ...mpe Pole Tu Kwa Hili
 
Kaka Kuna Wanaume Wanafanya Vibaya Wala Hawajui Kama Ni Wake Za Watu Na Wengine Wanaruka Na Ukuta Tena Wa Yeriko Kaka ...hao Si Wakuchekea Hata Kidogo Sasa Mzee Akaona Kuliko
 
90th celebrations events programme

Over 20 events planned by charity organisations


madiba1final.jpg

Madiba.

In order of date, excluding a few surprises set to be announced in July, the events are:

From March to July: A newspaper series of six interviews to honour Mr Mandela will be published.

A global "birthday wishes campaign", soon to be launched internationally, will give people all around the globe the opportunity to send their personal messages to Nelson Mandela through the following mediums: SMS, MMS and online.

12 March: A new exhibition called Parenting a Nation: Walter & Albertina Sisulu will be launched with the Walter Sisulu Paediatric Cardiac Centre for Africa, at Mandela House. It will be opened by Archbishop Desmond Tutu who will give the keynote address.

14 March: A reunion and dialogue with the surviving former trialists from the trials in which Mr Mandela was an accused, together with others, namely the Defiance Campaign Trial, the 1956 Treason Trial and the Rivonia Trial. (In collaboration with the Embassy of Sweden).

March to November: A series of youth community dialogues, essay and arts competitions focused on Mr Mandela's leadership and the Vision of an African Child. In partnership with the Nelson Mandela Foundation and the Nelson Mandela Childrens' Fund.

27 June: 46664 90th Birthday Concert at Hyde Park in London to celebrate Mr Mandela's life and legacy on an international scale.

The Nelson Mandela Children's Fund will hold a series of Children's Parliaments in South Africa, Lesotho, Botswana, Swaziland, Mozambique, Zimbabwe and Zambia. It will culminate in a joint sitting via satellite in June.

June: Launch of the 46664 precious metals bangles by Coutts Inc. and 46664, with limited edition 90th birthday bangles in silver, gold and platinum produced for a special fundraising event in London.

5 July at Constitution Hill: Launch of Hunger for Freedom: The Story of Food in the Life of Nelson Mandela by Anna Trapido (in collaboration with Jacana Media).

9 July: "Celebrate a Children's Champion at 90" is the theme of the annual Nelson Mandela Children's Fund celebration.

July 12: Her Excellency Ellen Johnson-Sirleaf, the President of Liberia, will deliver the sixth annual Nelson Mandela Lecture at the Walter Sisulu Square in Kliptown, Soweto.

July: Release of the Madiba Legacy Series comics published as a book with the title Nelson Mandela: The Authorised Comic Book (in collaboration with Jonathan Ball Publishers).

July: The launch of a Mandela Rhodes Foundation young leaders' facility in the Western Cape.

August: Launch in Atlanta, USA of a 15-city American tour of "A Portrait of Mandela", a spectacular symphonic presentation staged by Msomi-Duhart Enterprises.

August: The Malibongwe Dialogues, to celebrate the role of women in society, will be launched as an annual event with the Department of Arts and Culture.

24 September: The opening of a major retrospective exhibition on Mr Mandela's life and times at the Apartheid Museum.

18 September: 46664 have been awarded the only slot reserved annually for a charity event at the Royal Albert Hall in London. A spectacular entertainment event is being planned.

30 November: The annual 46664 World Aids Day concert will be held on the Saturday before World Aids Day in Rio de Janiero.

December: The launch of the first annual "Promise of Leadership Dialogue" involving leaders from South Africa and other African countries (in partnership with The Mandela Rhodes Foundation and the Nelson Mandela Foundation).

The Nelson Mandela Institute for Education and Rural Development will announce a five year developmental programme, with the Department of Education to identify and support a network of rural school communities called the Mandela School Community Network. A book of poetry will be launched as a birthday gift to Mr Mandela from the learners of the Eastern Cape.

Under the banner of ‘Justice in Education in Our Lifetime,' the Nelson Mandela Foundation and the Nelson Mandela Institute for Education and Rural Development will launch a series of public dialogue platforms inspired by Mr Mandela's commitment to public education.

Amandla! Awethu!
 
Through all the years of my life I have not found a man of true wisdom and passion like you. You have been my role model ever since I began to understand politics and I want to wish you the best one and that may the Lord richly Bless you Sir. You deserve nothing but the best. I admire you
Hollo.
 
Ni baada ya vituko vya mrembo huyo pale Heathrow Airport

11b_25_naomi_415x275.jpg
Naomi Campbell akiwa amevaa kofia yenye namba ya jela akitoka ndani ya kituo cha polisi cha Heathrow.

Mzee Nelson Mandela mwenyewe ameingilia katika maandalizi ya sherehe yake ya kuzaliwa itakayofanyika Ijumaa kwa kumuondoa Naomi Campbell katika orodha ya watakaoburudisha jukwaani.

Hatua hio ya mzeee huyo inakuja baada ya kusikia kwamba Naomi amehukumiwa adhabu ya siku 200 kusaidia shughuli za jamii kwa kitendo chake cha kuwashambulia askari polisi ndani ya ndege mwezi April mwaka huu pale uwanja wa ndege wa Heathrow.

Lakini hasa kilichomuudhi mzee huyo ni kwamba Naomi alipokuwa akifanya upuuzi wake huo alikuwa amevalia kofia inayoonesha namba ya gerezani ambayo mzee huyo alikuwa akitumia wakti akitumikia kifungo katika jela ya Roben nchini South Afrika.

Namba hiyo 46664 imekuwa inatumika katika kampeni mbalimbali za kupambana na ukimwi.

Naomi anamwita mzee Mandela babu wa heshima kwake na huwa namuona mara kwa mara. Amewahi kumuomba ushauri wa namna ya kudhibiti hasira zake ambapo kama akiudhika anaweza kumtupia mtu chupa, meza na kadhalika.

3c90420a-7818-48c6-aff3-3ba0681cde32-3c90420a-7818-48c6-aff3-3ba0681cde32.jpg
Babu Madiba akiteremka kutoka katika gari iliomleta katika hoteli moja maarufu katikati ya jiji la London baada ya kuwasili nchini Uingereza siku ya Jumatatu wiki hii.

Mandela anatimiza miaka 90 na sherehe hizo zitafanyika katika viwanja vya Hyde Park mjini London na watu wapatao 46664 wanatarajiwa kuhudhuria.

Source: World Media
 
babu kachemsha kwa hili, anamuacha teja amy anamtoa naomi kisa namba ya gerezani ambayo actually naomi alikua proud kuivaa kumuenzi babu.
 
Tatizo ni kwamba Naomi anavaa kofia hiyo ambayo inamkumbusha mbali sana mzee wa watu.

Kama inamkumbusha, mbona ndo account ya msaada au?

Just a grumpy old man, hana mpango. Naomi can have my number anytime. When am 90 she will be welcome at my party.

Kwanza alichofanya Naomi, everyone one of you is secretly loving it. Cos u all would love to let off steam at them airport peeps.
 
Back
Top Bottom