Happy Birthday Mama Tee (Zarieth The Bosslady)

Sura ya Zari haina furaha kabisa,yani Moyo wake umejikunja kabisa...ila kwa vile anapenda maisha ya kulisha ndimu hana budi kwenda na flow.


Duh, video ya sekunde 30 tu umeona mpaka kwenye moyo? We kweli Chiboko.
 
Leta,halafu mmekazania zari kujisugua kwa maplastic wakati wenginee wanajisugua hata kwa matango na ndizi aiseeee,watu wanasagana na kukoboana sembuse dildo,wimbo wenu umepitwa na wakati

Tukiwa upande wa zari oohoo mnamshobokea zari,mlitaka tumshobokee nani sasa. Bila zari wasichana wengi wa kibongo wangeendelea kuchoropoa mimba,bila zari insta kusingekua na accounts za watoto wa madada wa kibongo

ACHENI ZARI AITWE ZARI BANA
Tema mate chini we Dada eti bila zari wangeendelea kuchoropoa we kama ulichoropoa usidhani na wote walifanya hivyo...naona zari unamwabudu Haswa hadi unadiriki kusema eti bila yeye who is she bytheway
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom