Happy birthday Madame B

Siri Sirini

JF-Expert Member
Mar 12, 2012
547
198
Leo ni siku yako mpya hapa duniani, hongera kwa kutimiza miaka kadhaa toka uje hapa duniani, Mwenyezi Mungu akupe maisha marefu yenye baraka na afya, sina mengi ya kusema, ila nasema hongera kwa siku ya leo

HAPPY BIRTHDAY
 
Hongera Madame B kwa kuifikia siku hii muhimu sana kwako. Nakutakia maisha marefu yenye mafanikio. Mungu akuzidishie hekima, busara na upendo ili uendelee kuwa mfano kwa jamii. Ubarikiwe daima.
HAPPY BIRTHDAY!
 
Last edited by a moderator:
Ooh this is sweet.

Happy bday madame. May you see many more years of good health na mafanikio mengi including mabuzi yanayochunika.
 
Hongera zako jamani Madame B na bila shaka MUNGU akupe maisha marefu mpaka miaka mingine mingi tufurahie maisha pamoja!

HAPPY BIRTHDAY!
 
Last edited by a moderator:
Hongera mamito Madame B kwa kukong'oli miaka kadhaa.
Mwenyezi Mungu akujalie afya tele na maisha marefu, uzae watoto kadri upendavyo kisha upate wajukuu na uone vitukuu na vilembwe!

Btw, unazima mishumaa mingapi leo?
 
Last edited by a moderator:
Hongera mamito Madame B kwa kukong'oli miaka kadhaa.
Mwenyezi Mungu akujalie afya tele na maisha marefu, uzae watoto kadri upendavyo kisha upate wajukuu na uone vitukuu na vilembwe!

Btw, unazima mishumaa mingapi leo?
 
Last edited by a moderator:
Hivi mwanamke haulizwi umri? Manake nilitaka kuuliza how old are you now ngoja nimezee..lol

HAPPY BIRTHDAY LE Madame B
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday to you Madame B
naomba usiandae Ndofu Ndovu Baridii.jpg Andaa Fanta tu zinatosha atakayetaka ndofu aende bar!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom