Hata kama kuna baadhi ya watu hawaoni umuhimu wa Sokoine lakini ukweli utabakia palepale kuwa alikuwa ni mmoja wa viongozi wachache sana ambao waliweza kusimama katika kile walichohubiri.Mfano mdogo ni pale alipotangaza vita dhidi ya wahujumu uchumi kuna watu ambao walitupa masanduku yaliyojaa fedha sababu tu hawakuwa na maelezo ya kutosha kuelezea jinsi fedha hizo zilivyopatikana.Na sio sasa hivi ambapo kiongozi anatangaza vita dhidi ya umasikini wakati yeye ndio kinara wa kuwahujumu wananchi wake.RIP Edward Moringe Sokoine,the true son of Tanzania na taa iliyozimika wakati bado inahitajika..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.