Kivumah
JF-Expert Member
- Jan 7, 2008
- 2,428
- 1,050
..there y`re darlin,don't worry ..
I'm working on it....
is gona be an awesome night ..
i trust you, yes u can do it.
..there y`re darlin,don't worry ..
I'm working on it....
is gona be an awesome night ..
...lol, jamani kwangu mimi si itakuwa surprise!!?, Mratibu Afro D anisaidie kujibuKivumah,AshaDii na Afro....vipi wahudumu hawa unawaonaje??wanafaa au tuwatafute wengine??
itabidi tutafute mtu ambae hatumii narudia tena hatumii pombe
tumuweke kwenye idara ya vinywaji.... ..
idara ya mapambo King'ast
Idara ya Vyakula AshaDii
idara ya maombi Wiselady
mabaunsa Kakakiiza, na "REJAO"
DJ wako wawili DJ babu na nanilii
V.I.P
Asprin, Klorokwin , MJ1, Kaizer, The finest naendelea kuandika hizi invitation cards..
naomba ukutane na uporoto , hakikisha kila kitu kuhusu wageni kiko sawa..
Nakutegemea sana usiniiangushe ... mwahh
Kivumah,AshaDii na Afro....vipi wahudumu hawa unawaonaje??wanafaa au tuwatafute wengine??
Mmezaliwa siku moja na JK? LAKINI HONGERA!!!!
...lol, jamani kwangu mimi si itakuwa surprise!!?, Mratibu Afro D anisaidie kujibu
...@Red, hapo chachaa. watu Babuu babuu.....
..mhh haya nimefunga Mratibu, Msisahau kadi ya Maria Roza jamani. Mwakilishi wa lile jukwaaNlijua ntakuamini ..
hapo mambo super dupper..
me like it Kivumah funga macho usione hii kwa sasa..
itabidi tutafute mtu ambae hatumii narudia tena hatumii pombe
tumuweke kwenye idara ya vinywaji.... ..
idara ya mapambo King'ast
Idara ya Vyakula AshaDii
idara ya maombi Wiselady
mabaunsa Kakakiiza, na "REJAO"
DJ wako wawili DJ babu na nanilii
V.I.P
Asprin, Klorokwin , MJ1, Kaizer, The finest naendelea kuandika hizi invitation cards..
naomba ukutane na uporoto , hakikisha kila kitu kuhusu wageni kiko sawa..
Nakutegemea sana usiniiangushe ... mwahh
..Afro D nisaidie kujibu, huyo @ red kaalikwa?mnataka kusema kivuma leo na kikwete wanafanya part?
..hhaaahhaaa hha. Umesikika. Nadhani ombi lako litafanyiwa kazi immediatelyKabla ya kendelea na huu mpangilio... VIP kuna ladies?? maana kama ni hivo mie naona nitagoma (Abiria linda mzigo wako in motion...lol)
Hawa wahudumu utasababisha ngumi zipigwe ukumbini bana lol!!!Kivumah,AshaDii na Afro....vipi wahudumu hawa unawaonaje??wanafaa au tuwatafute wengine??
mnataka kusema kivuma leo na kikwete wanafanya part?
..huyu Babu, Ukaguzi utamfaa.ilikuwa nimuweke Idara ya vinywaji ..
lakini mmmhhhhh tumwache abaki tu
kwenye idara ya ukaguzi ..